Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA

Gladness Mallya BAADA ya kutokea vifo vya mahujaji zaidi ya mia saba waliokuwa wakishiriki Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka, staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ amesimulia alivyonusurika kwenye tukio hilo la kukanyagana. Staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ akiwa na mahujaji wenzie. Akizungumza na gazeti hili mke wa Mzee Majuto, Aisha alisema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

G-Lover asimulia alivyonusurika kuuawa Zanzibar

DJ na mmiliki wa studio za G Records, G-Lover amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana visiwani Zanzibar anakoishi. Kupitia ukurasa wake Facebook DJ huyo ameandika: Warning warning…ndugu zangu wa Zanzibar tunaoishi hapa watanzania wenzangu kwa ujumla na wageni mnaokuja huku naomba tuwe makini sana sana na hali ya usalama wetu ilivyo […]

 

10 years ago

Mwananchi

Mkono asimulia alivyonusurika kifo London

Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ambaye hivi karibuni alinusurika kifo akidaiwa kulishwa sumu akiwa London, Uingereza amesimulia jinsi tukio hilo lilivyomkuta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

JB amkabidhi Mzee Majuto tuzo ya ‘Shikamoo Mzee’

MSANII wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameamua kumkabidhi mkongwe wa tasnia hiyo, Mzee Majuto tuzo ya ZIFF aliyoshinda mwaka huu kupitia filamu yake ya ‘Shikamoo Mzee’ kama heshima...

 

10 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ATAPELIWA

Chande Abdallah na Deogratius Mongela
CHANGA! Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutapeliwa shilingi milioni mbili alizopaswa kulipwa kwenye shoo ya Instagram iliyofanyika hivi karibuni katika Viwanja vya Posta, jijini Dar. Mkongwe kwenye sanaa ya vichekesho Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wiki moja...

 

10 years ago

Michuzi

Mzee Majuto Sasa anapatikana Mtandaoni

Si Kila Unayemkuta Kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na Edo Madirector Kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya kimbulu yaani Paka liloshindikana ila wnakwaa visiki baada ya kukutana na wanakijiji wanajua zaidi yaoPata Filamu hii ya Kimbulu Kupitia Mtandao Taarifa nzuri zaidi ni kwamba Filamu zote za Kiswahili unaweza Kuzipata kupitia mtandao au ukaziangalia kupitia mtandao au kununua pia popote pale dunianiTembelea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mzee Majuto afikiria kukacha uigizaji

MCHEKESHAJI mkongwe katika tasnia ya filamu nchini, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’, amesema mazingira ya soko la filamu kwa sasa yanamkatisha tamaa na hivyo kumfanya kila wakati afikirie kustaafu na kuhamia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzee aliyekatwa nyeti asimulia mkasa mzima

Aprili 19, Mzee London Haonga (61) alipatwa na tukio la kutisha kwa kukatwa sehemu zake za siri. Ni tukio la kusikitisha ambalo linadaiwa kufanywa na vijana wadogo.

 

10 years ago

GPL

MZEE MAJUTO AFUNGUKA KUOA MJUKUU WAKE!

Mayasa Mariwata
Vunja ukimya! Komediani namba moja Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amegeuka mbogo baada kuulizwa juu ya madai ya kuoa binti mdogo ambaye ni sawa na mjukuu wake mwenye umri wa miaka 18 akidai kuwa sheria ya dini inamruhusu kufunga ndoa wa wake wanne.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda ambalo ndilo lililokuwa la kwanza kuripoti ishu hiyo, Mzee Majuto ambaye awali alionesha kuwa na jazba alifunguka:
...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA UTURUKI YATAKA KUMUUA MZEE MAJUTO

Na Gladness Mallya
MSANII wa maigizo na filamu nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ ameeleza kuwa, kwa furaha aliyonayo baada ya kupata safari ya kwenda Uturuki imemfanya ajisikie kufa kwani ni bahati ambayo hakuitarajia. Msanii wa maigizo na filamu nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’. Mzee Majuto amepata shavu akiongozana na wasanii wengine wawili, Vicent Kigosi ‘Ray’ na Steven Jacob...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani