Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee aliyekatwa nyeti asimulia mkasa mzima

Aprili 19, Mzee London Haonga (61) alipatwa na tukio la kutisha kwa kukatwa sehemu zake za siri. Ni tukio la kusikitisha ambalo linadaiwa kufanywa na vijana wadogo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJAMZITO AJIFUNGUA NAZI! ASIMULIA MKASA MZIMA, INATISHA

Na waandishi Wetu Maajabu! Msichana aliyefahamika kwa jina la Dora mkazi wa Magomeni Bagamoyo mkoani Pwani, hivi karibuni amejikuta akijifungua nazi badala ya mtoto, jambo lililomshangaza kila mtu.
Ushirikina watajwa Dora anayedaiwa kujifungua nazi. Ilidaiwa kuwa, chanzo cha Dora kujifungua nazi ni maneno aliyoambiwa na mke mwenzake aliyefahamika kwa jina la Jamila ambapo aliambiwa hatajifungua kiumbe cha kawaida na ndipo...

 

10 years ago

Bongo Movies

MKASA:Amanda asimulia mkasa wakufiwa na mchumba wake ghafla na kumuachia mimba lakini mtoto akafia tumboni

"....Kwenye hii dunia ukizaliwa mpaka unakufa lazima kuna mitihani binaadam utaipitia ,toka nimezaliwa me Amanda mpaka leo hii nimepitia mitihani migumu sana ...lakini katika mitihani yooote hakuna mtihani unaokataa kuondoka ndani ya kichwa changu kama ule niliyowahi kufiwa na mchumba angu tena ghafla nusu saa baada ya kuongea nae na kuniachia mimba then mtoto akafia tumboni....

Kiukweli nilijifunza sana na ndio maana mpaka leo uwa naamini kila mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA AMKATA MWANAYE PAJA,ACHOMA MSHIKAKI, SOMA MKASA MZIMA HAPA.

Mwanamke mmoja Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata mtoto wake mwenye umri wa miaka nane nyama ya paja na kuichoma mithili ya mshikaki.Mwananmke huyo aliyetajwa kwa jina la Dafrosa Massawe anadaiwa kufanya unyama huo mwishoni mwa wiki na majirani wanasema mama huyo alifanya hivyo akiwa amelewa.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Koka Moita alisema mwanamke huyo ataendelea kushikiliwa hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika kabla ya kupelekwa mahakamani.
Akizungumza na Gazeti la...

 

11 years ago

Mwananchi

Mzee akatwa ‘nyeti’ Ileje

Mkazi wa Kijiji Mapogolo wilayani Ileje, London Haonga (61), amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya watu wanaodaiwa kuwa watatu kumkata sehemu za siri usiku wa kuamkia juzi.

 

9 years ago

GPL

MZEE MAJUTO ASIMULIA ALIVYONUSURIKA

Gladness Mallya BAADA ya kutokea vifo vya mahujaji zaidi ya mia saba waliokuwa wakishiriki Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka, staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ amesimulia alivyonusurika kwenye tukio hilo la kukanyagana. Staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto au King Majuto’ akiwa na mahujaji wenzie. Akizungumza na gazeti hili mke wa Mzee Majuto, Aisha alisema...

 

5 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI ALIYEKATWA MGUU AOMBA MSAADA WA MASOMO


NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba ya wilayani Muleba, Aristidia John, amepata msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (Wheerchair).

Baiskeli hiyo iliyotolewa na taasisi ya The Desk & Chair Foundation ili kumrahisishia usafiri ilikabidhiwa jana kwa mtoto huyo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) .

Aristidia ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba wilayani Muleba, alifanyiwa...

 

9 years ago

StarTV

Albino Aliyekatwa Mkono  kuruhusiwa hospitalini Lushoto

 

Hospitali ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga imesema wakati wowote itamruhusu mkazi wa kijiji cha Bungoi Ester Magamba baada ya afya yake kuimarika.

Ester ambaye ni mlemavu wa ngozi Albino alifikishwa katika hospitali hiyo baada ya watu kuvamia nyumbani kwake Desemba 8 na kumkata kidole chake cha mkono wa koshoto.

Tayari Jeshi la Polisi limemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuhusika katika tukio hilo na linaendelea kuwatafuta watu wengine wawili..

Wilaya ya Lushoto, wilaya yenye sifa ya kilimo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani