Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA AMKATA MWANAYE PAJA,ACHOMA MSHIKAKI, SOMA MKASA MZIMA HAPA.

Mwanamke mmoja Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata mtoto wake mwenye umri wa miaka nane nyama ya paja na kuichoma mithili ya mshikaki.Mwananmke huyo aliyetajwa kwa jina la Dafrosa Massawe anadaiwa kufanya unyama huo mwishoni mwa wiki na majirani wanasema mama huyo alifanya hivyo akiwa amelewa.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Koka Moita alisema mwanamke huyo ataendelea kushikiliwa hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika kabla ya kupelekwa mahakamani.
Akizungumza na Gazeti la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mama amkata mwanaye nyama, aichoma mshikaki

Mwanamke mmoja mkazi wa Kibosho mkoani Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata mtoto wake mwenye umri wa miaka minane nyama katika eneo la paja na kuichoma mithili ya mshikaki.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzee aliyekatwa nyeti asimulia mkasa mzima

Aprili 19, Mzee London Haonga (61) alipatwa na tukio la kutisha kwa kukatwa sehemu zake za siri. Ni tukio la kusikitisha ambalo linadaiwa kufanywa na vijana wadogo.

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO AJIFUNGUA NAZI! ASIMULIA MKASA MZIMA, INATISHA

Na waandishi Wetu Maajabu! Msichana aliyefahamika kwa jina la Dora mkazi wa Magomeni Bagamoyo mkoani Pwani, hivi karibuni amejikuta akijifungua nazi badala ya mtoto, jambo lililomshangaza kila mtu.
Ushirikina watajwa Dora anayedaiwa kujifungua nazi. Ilidaiwa kuwa, chanzo cha Dora kujifungua nazi ni maneno aliyoambiwa na mke mwenzake aliyefahamika kwa jina la Jamila ambapo aliambiwa hatajifungua kiumbe cha kawaida na ndipo...

 

10 years ago

Vijimambo

Precision Kuuza Ndege Zake..Kisa na Mkasa Huu Hapa

SHIRIKA la Ndege la Precision linatarajia kuuza baadhi ya ndege zake na kubakiza ndege sita kupunguza mzigo wa madeni yanayoikabili Kampuni hiyo kwa sasa.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa shirika hilo, Michael Shirima alisema Dar es Salaam jana kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na uchakavu wa ndege hizo na hali ya uchumi wa kampuni.“Kampuni iko katika mazungumzo na mwekezaji ili kukamilisha makubaliano ya kununua ndege zenye madeni na kisha kuzikodisha kwa kampuni nyingine… makubaliano...

 

10 years ago

Bongo Movies

MKASA:Amanda asimulia mkasa wakufiwa na mchumba wake ghafla na kumuachia mimba lakini mtoto akafia tumboni

"....Kwenye hii dunia ukizaliwa mpaka unakufa lazima kuna mitihani binaadam utaipitia ,toka nimezaliwa me Amanda mpaka leo hii nimepitia mitihani migumu sana ...lakini katika mitihani yooote hakuna mtihani unaokataa kuondoka ndani ya kichwa changu kama ule niliyowahi kufiwa na mchumba angu tena ghafla nusu saa baada ya kuongea nae na kuniachia mimba then mtoto akafia tumboni....

Kiukweli nilijifunza sana na ndio maana mpaka leo uwa naamini kila mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa...

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

Katika gazeti bora hapa nchini la leo (Mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni umekamilika. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na kusambazwa katika majimbo yote 265 ya uchaguzi nchini […]

The post Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2

Leo namalizia kuwaletea makala haya yanayohusu elimu mpya ya uzazi, mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake, ungana nami sehemu ya mwisho. WENYE TABIA HII NDIYO WANAONGOZA Wanawake wengi wanaoongoza kwa kushika mimba za mapacha ni wale ambao wakati wa kulala wanabadili staili mara kwa mara.Mara nyingi inashauriwa kuwa, mwanamke akishaingia kwenye siku zake za hatari kulingana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani