Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Precision Kuuza Ndege Zake..Kisa na Mkasa Huu Hapa

SHIRIKA la Ndege la Precision linatarajia kuuza baadhi ya ndege zake na kubakiza ndege sita kupunguza mzigo wa madeni yanayoikabili Kampuni hiyo kwa sasa.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa shirika hilo, Michael Shirima alisema Dar es Salaam jana kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na uchakavu wa ndege hizo na hali ya uchumi wa kampuni.“Kampuni iko katika mazungumzo na mwekezaji ili kukamilisha makubaliano ya kununua ndege zenye madeni na kisha kuzikodisha kwa kampuni nyingine… makubaliano...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Precision kuuza ndege zake

Precision_Air_ATR_42-600_(5H-PWH)_at_Toulouse-Blagnac_Airport_(LFBO)Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
SHIRIKA la Ndege la Precision linatarajia kuuza baadhi ya ndege zake na kubakiza ndege sita kupunguza mzigo wa madeni yanayoikabili Kampuni hiyo kwa sasa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa shirika hilo, Michael Shirima alisema Dar es Salaam jana kuwa hatua hiyo imefikiwa kutokana na uchakavu wa ndege hizo na hali ya uchumi wa kampuni.
“Kampuni iko katika mazungumzo na mwekezaji ili kukamilisha makubaliano ya kununua ndege zenye madeni na kisha kuzikodisha...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA AMKATA MWANAYE PAJA,ACHOMA MSHIKAKI, SOMA MKASA MZIMA HAPA.

Mwanamke mmoja Kilimanjaro amekamatwa na polisi akidaiwa kumkata mtoto wake mwenye umri wa miaka nane nyama ya paja na kuichoma mithili ya mshikaki.Mwananmke huyo aliyetajwa kwa jina la Dafrosa Massawe anadaiwa kufanya unyama huo mwishoni mwa wiki na majirani wanasema mama huyo alifanya hivyo akiwa amelewa.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Koka Moita alisema mwanamke huyo ataendelea kushikiliwa hadi uchunguzi wa tuhuma hizo utakapokamilika kabla ya kupelekwa mahakamani.
Akizungumza na Gazeti la...

 

5 years ago

Michuzi

PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA MIZIGO KWENDA COMORO

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiShirika la ndege la Precision Air wamezindua safari  za ndege ya mizigo kutokea Tanzania na kuelekea Hahaya katika Visiwa vya Comoros wakipeleka bidhaa mbalimbali.

Safari hizo zimeanza rasmi siku ya Jumamosi kutokana na mabadiliko katika soko na nchi nyingi kufunga mipaka yao.
Akitoa taarifa hiyo,  Meneja Masoko na Mawasiliano amesema wamebadilisha moja ya ndege zao aina ya ATR72-500 kuwa ndege ya mizigo, na safari ya kwanza ilikuwa ni siku ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

MKASA:Amanda asimulia mkasa wakufiwa na mchumba wake ghafla na kumuachia mimba lakini mtoto akafia tumboni

"....Kwenye hii dunia ukizaliwa mpaka unakufa lazima kuna mitihani binaadam utaipitia ,toka nimezaliwa me Amanda mpaka leo hii nimepitia mitihani migumu sana ...lakini katika mitihani yooote hakuna mtihani unaokataa kuondoka ndani ya kichwa changu kama ule niliyowahi kufiwa na mchumba angu tena ghafla nusu saa baada ya kuongea nae na kuniachia mimba then mtoto akafia tumboni....

Kiukweli nilijifunza sana na ndio maana mpaka leo uwa naamini kila mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa...

 

11 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI NA NDEGE ZA PRECISION AIR KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY

Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya  Naligingwa (kushoto)  na Afisa masoko wa Precision Air Hillary Mremi (kulia) kwa pamoja wakizindua ushirikiano kati ya Airtel na Precision Air utakaowawezesha wateja wa Airtel kulipia tiketi za ndege kupitita huduma ya Airtel Money. akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde
Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya  Naligingwa (kushoto) akiongea wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkombozi yaanza kuuza hisa zake kukuza mtaji kufikia Sh18 bilioni

Benki ya Biashara ya Mkombozi imezindua uuzaji wa hisa zake kwa mpango wa stahiki (haki yako) unaolenga kukuza uchumi na mtaji wake kutoka Sh12 bilioni hadi Sh18 bilioni.

 

10 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA VILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao. 

Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizindua rasmi mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtadao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza(wa kwanza...

 

10 years ago

GPL

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa  mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtandao. Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao.… ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR

 Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583.  Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani