PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA MIZIGO KWENDA COMORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-SLAmI4AbY1w/Xq_19CYzFfI/AAAAAAALpBA/Qkel64Ft8RMPEsoipqA2K_Zmpn1SPsp7wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200504-WA0029%25281%2529.jpg)
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiShirika la ndege la Precision Air wamezindua safari za ndege ya mizigo kutokea Tanzania na kuelekea Hahaya katika Visiwa vya Comoros wakipeleka bidhaa mbalimbali.
Safari hizo zimeanza rasmi siku ya Jumamosi kutokana na mabadiliko katika soko na nchi nyingi kufunga mipaka yao.
Akitoa taarifa hiyo, Meneja Masoko na Mawasiliano amesema wamebadilisha moja ya ndege zao aina ya ATR72-500 kuwa ndege ya mizigo, na safari ya kwanza ilikuwa ni siku ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAIR TANZANIA YARUDISHA SAFARI ZA NDEGE ZA KWENDA BURUNDI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fQhxV470S6A/VH59jK81iJI/AAAAAAAG04A/ZgudNHXifZU/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
Air Seychelles yazindua safari za ndege Mahe - Dar es Salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-fQhxV470S6A/VH59jK81iJI/AAAAAAAG04A/ZgudNHXifZU/s1600/unnamed%2B(14).jpg)
Ujio wa shirika hilo la ndege unafanya mashirika ya ndege yaliyoanzisha safari zake kuja Dar es Salaam kwa siku za hivi karibuni kufikia matatu, Air Seychelles, Flydubai ya Umoja...
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Precision Air yaongeza safari
SHIRIKA la Ndege la Precision Air limeendelea kuimarisha na kuboresha huduma zake za usafiri wa anga kwa kuongeza safari katika mikoa ya Kilimanjaro, Mtwara na visiwa vya Zanzibar. Lengo la ...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Precision Air yarudisha safari za Kigoma
SHIRIKA la ndege la Precision Air (PW) limetangaza kuanza safari mkoani Kigoma kuanzia Julai 16 mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Sauda Rajab, alisema ...
11 years ago
GPLWATEJA WA AIRTEL KUNUNUA TIKETI NA NDEGE ZA PRECISION AIR KUPITIA HUDUMA YA AIRTEL MONEY
5 years ago
MichuziNDITIYE AZINDUA SAFARI ZA NDEGE ZA MIZIGO UWANJA WA KIA
KADCO yajenga chumba cha barafu chenye uwezo wa kubeba tani 110
Na Prisca Ulomi, WUUM, KIA
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua safari za ndege za mizigo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara, wakulima wa mazao, matunda na mboga mboga wa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga, Manyara na mikoa ya jirani kutumia usafiri huo kusafirisha mizigo yao kwenda nje ya nchi ya Tanzania
Nditiye amesema kuwa uzinduzi wa...
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Tihad Yazindua Mfumo wa Kisasa wa Usimamizi wa Mizigo, Viwanja Vyake vya Ndege
Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.
Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-rPYlJPuBRAE/VRWaSpx1mwI/AAAAAAABpvU/YS9SYgVkprE/s72-c/a1.jpg)
FASTJET YAZINDUA SAFARI MPYA KUTOKA KILIMANJARO KWENDA MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-rPYlJPuBRAE/VRWaSpx1mwI/AAAAAAABpvU/YS9SYgVkprE/s640/a1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cmZSxa5d9Fk/VRWaZKqLn8I/AAAAAAABpvc/FwNL8fwRLC0/s640/2.jpg)
10 years ago
TheCitizen26 Jul
Precision Air doing well: Shirima