Air Seychelles yazindua safari za ndege Mahe - Dar es Salaam
.jpg)
Shirika la Ndege la Taifa la Shelisheli, Air Seychelles limeanza kufanya safari zake kati ya mji mkuu wa nchi hiyo, Mahe na Dar es Salaam ambapo Desemba 2, 2014, ndege yake ya abiria HM 777 ilifanya safari yake ya kwanza ya uzinduzi kwa kutua Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.
Ujio wa shirika hilo la ndege unafanya mashirika ya ndege yaliyoanzisha safari zake kuja Dar es Salaam kwa siku za hivi karibuni kufikia matatu, Air Seychelles, Flydubai ya Umoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA MIZIGO KWENDA COMORO
Safari hizo zimeanza rasmi siku ya Jumamosi kutokana na mabadiliko katika soko na nchi nyingi kufunga mipaka yao.
Akitoa taarifa hiyo, Meneja Masoko na Mawasiliano amesema wamebadilisha moja ya ndege zao aina ya ATR72-500 kuwa ndege ya mizigo, na safari ya kwanza ilikuwa ni siku ya...
11 years ago
Dewji Blog24 Sep
Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam
Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.
Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.
Dar es Salaam itakuwa...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi
Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.
Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...
11 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Air Seychelles kuzindua njia mpya Dar
SHIRIKA la Ndege la Jamhuri ya Shelisheli, ‘Air Seychelles’ liinatarajia kuzindua safari za ndege zake jijini Dar es Salaam Desemba 2 mwaka huu. Kwa mujibu wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa...
10 years ago
TheCitizen03 Dec
Use Air Seychelles’ Dar-Mahé flights for business: minister
11 years ago
Vijimambo
SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE , UGANDA





Ndege kati ya miji hii mikuu miwili zitaruka siku za...
11 years ago
Dewji Blog25 Sep
Shirika la ndege la Fastjet laanzisha safari mpya kati ya Dar es Salaam Tanzania na Entebbe, Uganda
Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe.
Meneja wa biashara wa Shirika la Ndege la Fastjet, Jean Uku, akiongea na wateja wa Fastjet kabla ya kuzindua rasmi safari hiyo kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar.
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet nchini, Jimy Kibati na Meneja wa biashara wa Fastjet, Jean Uku, wakizindua rasmi safari za kwenda Entebe kutokea Dar es salaam.
Mhudumu wa...
11 years ago
GPLAIR TANZANIA YARUDISHA SAFARI ZA NDEGE ZA KWENDA BURUNDI
11 years ago
GPL
SHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM TANZANIA NA ENTEBE, UGANDA