Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AIR TANZANIA YARUDISHA SAFARI ZA NDEGE ZA KWENDA BURUNDI

Meneja Rasilimali watu kutoka Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Eliezer Mwasele, akishuka kutoka ndani ya ndege mara baada ya ndege ya Air Tanzania kutua wakati wa uzinduzi wa safari za kwenda Bujumbura- Burundi. Nyuma yake ni aliekuwa Balozi wa Tanzania Burundi, Francis Mndolwa.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PRECISION AIR YAZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA MIZIGO KWENDA COMORO

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiShirika la ndege la Precision Air wamezindua safari  za ndege ya mizigo kutokea Tanzania na kuelekea Hahaya katika Visiwa vya Comoros wakipeleka bidhaa mbalimbali.

Safari hizo zimeanza rasmi siku ya Jumamosi kutokana na mabadiliko katika soko na nchi nyingi kufunga mipaka yao.
Akitoa taarifa hiyo,  Meneja Masoko na Mawasiliano amesema wamebadilisha moja ya ndege zao aina ya ATR72-500 kuwa ndege ya mizigo, na safari ya kwanza ilikuwa ni siku ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Precision Air yarudisha safari za Kigoma

SHIRIKA la ndege la Precision Air (PW)  limetangaza kuanza safari mkoani Kigoma kuanzia Julai 16  mwaka huu. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Sauda Rajab, alisema ...

 

10 years ago

Michuzi

Air Seychelles yazindua safari za ndege Mahe - Dar es Salaam

 Shirika la Ndege la Taifa la Shelisheli, Air Seychelles limeanza kufanya safari zake kati ya mji mkuu wa nchi hiyo, Mahe na Dar es Salaam ambapo  Desemba 2, 2014, ndege yake ya abiria HM 777 ilifanya safari yake ya kwanza ya uzinduzi kwa kutua Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.

Ujio wa shirika hilo la ndege unafanya mashirika ya ndege yaliyoanzisha safari zake kuja Dar es Salaam kwa siku za hivi karibuni kufikia matatu, Air Seychelles, Flydubai ya Umoja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya Airways yarudisha safari za S.Leone

Shirika la ndege la Kenya limeanza tena kusafirisha wateja wake baina ya miji ya Nairobi na Freetown nchini Sierra Leone.

 

11 years ago

Mwananchi

UWEKEZAJI: Tanzania yaomba safari za ndege za BA zirejeshwe

>Tanzania imeiomba Serikali ya Uingereza kulirudisha Shirika la Ndege la British Airways (BA) ili lianze tena safari zake hapa nchini kusaidia kukuza biashara na utalii.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la flydubai wazindua safari zao nchini Tanzania

Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai, Bwa.Sudhir Sreedharan akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali jana kwenye uwanja wa kimataifa wa Jk Nyerere Kwenye Uzinduzi wa Shirika jipya la ndege la Fly Dubai.

Shirika Jipya la Ndege la Fly Dubai Jana Wamezindua safari zao nchini kwa gharama za bei nafuu,pia ndege hiyo itakuwa ikiruka moja kwa moja pia kutokea Zanzibar kwenda Dubai

Balozi mdogo wa Tanzania nchini Dubai Mh. Omar Mjenga...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA NDEGE LA FLY DUBAI WAZINDUA SAFARI ZAO NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali jana kwenye uwanja wa kimataifa wa Jk Nyerere Kwenye Uzinduzi wa Shirika jipya la ndege la Fly Dubai.Shirika Jipya la Ndege la Fly Dubai Jana Wamezindua safari zao nchini kwa gharama za bei nafuu,pia ndege hiyo itakuwa ikiruka moja kwa moja pia kutokea Zanzibar kwenda DubaiBalozi mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Mh Omar Mjenga akitoa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Tanzania kufufua safari za ndege za abiria na watalii, je imejipanga vipi?

Tanzania litakuwa taifa la kwanza barani Afrika kuruhusu ndege za watalii na abiria wengine kutua nchini humo. Lakini je watalii wanaotegemewa kwenda Tanzania watatoka wapi?

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani