Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAFUNZI ALIYEKATWA MGUU AOMBA MSAADA WA MASOMO


NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba ya wilayani Muleba, Aristidia John, amepata msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (Wheerchair).

Baiskeli hiyo iliyotolewa na taasisi ya The Desk & Chair Foundation ili kumrahisishia usafiri ilikabidhiwa jana kwa mtoto huyo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) .

Aristidia ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba wilayani Muleba, alifanyiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mwanafunzi mlemavu mikono yote miwili aomba msaada wa JK

DSC08466

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles (12) ambaye anatumia mguu wa kulia kuandika kutokana na kutokuwa na mikono.Pia anatumia mguu huo kutandika kitanda chake.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze...

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA

DSC08466 Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles (12) ambaye anatumia mguu wa kulia kuandika kutokana na kutokuwa na mikono.Pia anatumia mguu huo kutandika kitanda chake.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Julius Charles (12) ambaye hana mikono ameiomba serikali imsaidie kupata mtu atakaye mhudumia ili aweze kusoma kwa uhuru zaidi aweze...

 

11 years ago

GPL

MWANAFUNZI MLEMAVU MIKONO YOTE MIWILI AOMBA MSAADA WA JK‏

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Ikungi mchanganyiko wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Julius Charles (12) ambaye anatumia mguu wa kulia kuandika kutokana na kutokuwa na mikono.Pia anatumia mguu huo kutandika kitanda chake. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ikungi wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Olivary Kamilly, akimsaidia mwanafunzi Julius Charels Kumvalisha soksi baada ya kutoka darasani.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Masikini mama huyu kwa maumivu anayoyapata, aomba kukatwa mguu

JAMII imeombwa kutoa msaada wa hali na mali kwa Bi. GRACE KAIZA mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye ameomba kukatwa mguu wake kutokana na Saratani ( Kansa) katika mguu huo.

Akizungumza na *JEMBE Habari* Bi. Grace Kaiza amesema amekuwa akisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu jambo lililomuathiri kwa kiasi kikubwa kiafya na hata kiuchumi.

Akielezea namna tatizo hilo lilivyompata amesema lilianza kama uvimbe katika mguu wake kisha kufanyiwa upasuaji mara kadhaa lakini haikusaidia na ndipo...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADHI YA WANA HARAKATI WA DODOMA WAKIMJULIA HALI MWANAFUNZI WA UDOM ALIYEVUNJIKA MGUU

Mr Dannis akiwa na Msouth kato baada ya kumtembelea kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom aliyepata majanga ya kuvunjika mguu baada ya kuruka kwenye gari na kutaka kuwakwepa Polisi waliokuwa wanahakikisha usalama unapatikana katika chuo hicho cha Udom kutokana na baadhi ya wanafunzi kuwashawishi wanzao kufanya maandamano yasiyokuwa ya Maani kutokana na kile kinachodaiwa kutopata Mkopo kwa muda unaostahiliKijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada...

 

10 years ago

BBCSwahili

Roboti yahudhuria masomo kama mwanafunzi

Mwanafunzi Cole ,chini Marekani alipata ajali ya gari na kuumia vibaya na sasa anahudhuria masomo kwa msaada wa njia ya roboti.

 

10 years ago

GPL

KIJANA ALIYEVUNJIKA MGUU KATIKA VURUGU ZA UDOM APATIWA MSAADA

Kijana Iddy (mwanafunzi wa UDOM), aliyevunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na wanafunzi wa UDOM juzi. Mguu wa kulia wa kijana Iddy ukiwa umevunjika. KIJANA Iddy ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyevunjika mguu katika vurugu za mgomo uliofanywa na wanafunzi wa UDOM Kitivo cha Sayansi ya Jamii juzi amepatiwa msaada… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aomba msaada wa matibabu

GERALD Mwambungu (35) mkazi wa Ubungo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam, anaomba msaada wa kwenda India kwa ajili ya matibabu ya mguu wake wa kulia. Akizungumza jana katika ofisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani