Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIJANA ALIYEVUNJIKA MGUU KATIKA VURUGU ZA UDOM APATIWA MSAADA

Kijana Iddy (mwanafunzi wa UDOM), aliyevunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na wanafunzi wa UDOM juzi. Mguu wa kulia wa kijana Iddy ukiwa umevunjika. KIJANA Iddy ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyevunjika mguu katika vurugu za mgomo uliofanywa na wanafunzi wa UDOM Kitivo cha Sayansi ya Jamii juzi amepatiwa msaada… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BAADHI YA WANA HARAKATI WA DODOMA WAKIMJULIA HALI MWANAFUNZI WA UDOM ALIYEVUNJIKA MGUU

Mr Dannis akiwa na Msouth kato baada ya kumtembelea kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom aliyepata majanga ya kuvunjika mguu baada ya kuruka kwenye gari na kutaka kuwakwepa Polisi waliokuwa wanahakikisha usalama unapatikana katika chuo hicho cha Udom kutokana na baadhi ya wanafunzi kuwashawishi wanzao kufanya maandamano yasiyokuwa ya Maani kutokana na kile kinachodaiwa kutopata Mkopo kwa muda unaostahiliKijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana mwenye miaka 4 akatwa mguu Kenya

Familia ya kijana mwenye umri wa miaka minne aliyepigwa risasi na polisi huko Mombasa inasema amekatwa mguu

 

10 years ago

Dewji Blog

MO DEWJI FOUNDATION yampatia Baiskeli kijana aliyepooza mguu

DSC_0370

Mtendaji Mkuu wa MO DEWJI FOUNDATION, Gerald Mgesi David akimkabidhi rasmi kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (tricycle) itakayomsaidia katika kutembelea kwenye shughuli zake za kila siku.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya MO DEWJI FOUNDATION   inayojishughulisha na miradi ya kusaidia jamii Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwemo Afya, elimu na maji mwishoni mwa wiki imeweza kumpatia  kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu...

 

10 years ago

Mwananchi

84 kizimbani vurugu Udom, Serikali yajisafisha

Wanafunzi 84 wa programu maalum ya stashahada ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma(udom) waliofanya mgomo na kuandamana kushinikiza kulipwa madai yao, juzi wamepandishwa kizimbani kwa kosa la kukusanyika bila kibali maalum.

 

10 years ago

Michuzi

OMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI ; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19,Kitanda namba 28 kwa tatizo la uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake kutoka nje.
Familia inaomba msaada wa wasamaria wema ili kugharamia matibabu ya Abel kutokana kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuliko uwezo wa familia.


Kwa yeyote atakayetakayeguswa na taarifa hii, anakaribishwa kumtembelea Abel Hospitalini ili kukutana naye na kusikia kilio chake Kwa mlio mbali,...

 

5 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI ALIYEKATWA MGUU AOMBA MSAADA WA MASOMO


NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba ya wilayani Muleba, Aristidia John, amepata msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (Wheerchair).

Baiskeli hiyo iliyotolewa na taasisi ya The Desk & Chair Foundation ili kumrahisishia usafiri ilikabidhiwa jana kwa mtoto huyo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC) .

Aristidia ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Katoba wilayani Muleba, alifanyiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Kijana Suleiman Othuman wa Zanzibar anaomba msaada wenu

Pichani kiijana Suleiman Othuman akiwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja wodi ya chini upande wa dirisha la dawa kitanda no 12. 
 Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali  kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu.Walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata matibabu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani