Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Akatwa Mguu!

Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa 24 baada ya kufanyiwa upasuaji mwingine wa kukatwa tena mguu kufuatia uvimbe uliojitokeza kwenye mguu wake wa bandia uliomnyima raha kwa muda mrefu.

TUJIUNGE NA CHANZO JIJINI NAIROBI

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichoambatana na mwigizaji huyo jijini Nairobi, Kenya katika matibabu, staa huyo alifikia hatua ya kwenda hospitali baada ya kuzidiwa na maumivu makali...

 

11 years ago

GPL

DENTI YATIMA AKATWA MGUU

MWANAFUNZI James Chotamasogo (20) aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana katika Shule ya Sekondari ya Road Baden Powel inayomilikiwa na Kanali Mstaafu, Idd Omar Kipingu, iliyopo jijini Dar amekatwa mguu wa kushoto katika Hospitali ya Ocean Road, kutokana na ugonjwa wa kansa. James Chotamasogo akitembelea magongo baada ya kukatwa mguu wa kushoto katika Hospitali ya Ocean Road, kutokana na ugonjwa wa kansa. Kufuatia tukio hilo,...

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga mguu sawa

TIMU za Simba na Yanga zimetamba sasa zimeimarika baada ya wachezaji wao kurejea nchini wakitokea Ethiopia walikokuwa katika michuano ya Kombe la Chalenji. Wakizungumza kwa nyakati tofauti makocha wa timu hizo walisema wanaamini kuanzia leo wachezaji hao watakuwa wamejiunga na vikosi vyao na maandalizi yatakuwa yamekamilika.

 

9 years ago

GPL

WASTARA KUKATWA MGUU TENA!

Imelda mtema MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu uliokuwa umewekewa mguu wa bandia, Risasi Jumamosi lina stori nzima ya kusikitisha. Wastara Juma akiwa na magongo TATIZO LILIPOANZIA
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu na Wastara ambaye hakupenda jina lake liandikwe...

 

11 years ago

GPL

AGONGWA NA KIBERENGE, AVUNJIKA MGUU

Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge. Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge.…

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars mguu sawa

TIMU ya Taifa Tanzania, Taifa Stars, leo wanashuka dimbani kuvaana na Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018, huku Kocha Mkuu Charles Mkwasa akiahidi kuibuka na ushindi. Mchezo huo wa awali utachezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10:30 jioni .

 

11 years ago

GPL

AOZA MGUU, KISA AJALI

Na Gabriel Ng’osha AMA kweli ng’ombe wa maskini hazai, kijana Peter  Sitiwati (26), mkazi wa Sinza ya Kwaremmy jijini Dar amejikuta akikatisha ndoto za utafutaji maisha kufuatia kuoza mguu baada ya ajali mbaya ya gari.
Akizungumza na mwandishi wetu jijini Dar juzikati kwa sauti ya kukata tamaa, Peter alisema alipata ajali ya gari mwaka 2013 maeneo ya Sinza-Mori, Dar na kuumia vibaya mguu wa kulia. kijana...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk.Bisimba anusurika kifo, avunjika mguu

Pg 1Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba amenusurika kifo ajalini.

Dk. Kijo-Bisimba alipata ajali mbaya ya gari katika daraja  la Salender   Dar es Salaam jana.

Katika ajali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba anadaiwa kuvunjika mguu mmoja baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kupinduka mara nne.

Ajali hiyo ilitokea  jana asubuhi wakati   akitoka kusali eneo la Posta   akitumia gari dogo   ya Toyota Prado   namba   T 159...

 

10 years ago

Mwananchi

Mguu sawa kwa walimu wa Tanzania

Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki (EAC) limekamilisha mpango unaolenga kumaliza uhaba wa walimu kwa kuwaruhusu walimu kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama wa jumuiya hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani