Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mguu sawa kwa walimu wa Tanzania

Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki (EAC) limekamilisha mpango unaolenga kumaliza uhaba wa walimu kwa kuwaruhusu walimu kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama wa jumuiya hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magufuli leo mguu sawa kwa urais

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli leo anatarajiwa kuchukua fomu ya uteuzi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kusaka wadhamini na kisha kuidhinishwa kuwa mgombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars mguu sawa

TIMU ya Taifa Tanzania, Taifa Stars, leo wanashuka dimbani kuvaana na Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018, huku Kocha Mkuu Charles Mkwasa akiahidi kuibuka na ushindi. Mchezo huo wa awali utachezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10:30 jioni .

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Yanga mguu sawa

TIMU za Simba na Yanga zimetamba sasa zimeimarika baada ya wachezaji wao kurejea nchini wakitokea Ethiopia walikokuwa katika michuano ya Kombe la Chalenji. Wakizungumza kwa nyakati tofauti makocha wa timu hizo walisema wanaamini kuanzia leo wachezaji hao watakuwa wamejiunga na vikosi vyao na maandalizi yatakuwa yamekamilika.

 

10 years ago

Mwananchi

JK awaambia polisi wakae mguu sawa

>Rais Jakaya Kikwete amelikata Jeshi la Polisi nchini kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wapigakura, upigaji Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe awaweka vijana mguu sawa

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema hawatokubali kukaa kimya na kuona Bunge Maalum la Katiba Mpya likiwa linaendelea hadi Oktoba 4. Mbowe alisema, endapo watapuuzwa...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI IKUNGI LAJIWEKA MGUU SAWA KUKABILIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ikungi (kushoto) Ally Mwanga na Makamu wake Stephano Missai wakifuatilia matukio ya kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ikungi, Justise Kijazi akizungumza kwenye kikao cha baraza hilo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ikungi Ally Mwanga akizungumza.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, (aliyevaa shati ya bluu katikati) Edward Mpogolo, na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye moja ya tukio la kikao hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Tanzania imedhamiria kutekeleza dira yake ya haki sawa kwa wote

Kaimu Mkurugenzi, Kurugenzi ya Usimamizi na Uendeshaji wa Mashauri kutoka Mahakama ya Tanzania Bw. John Kahyoza akiwaeleza waandishi wa (hawapo pichani) mikakati iliyoweka iliyowekwa na Mahakama ya Tanzania ili kutekeleza dira yake ya haki sawa kwa wote na kwa wakati kwa vitendo, kwa kuhakikisha inapunguza muda wa mashauri kukaa mahakamani, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Mahakama ya Tanzania Bi. Mary Gwera. Picha na Hassan...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa sasa mguu ndani, mguu nje

>Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani