MO DEWJI FOUNDATION yampatia Baiskeli kijana aliyepooza mguu
Mtendaji Mkuu wa MO DEWJI FOUNDATION, Gerald Mgesi David akimkabidhi rasmi kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (tricycle) itakayomsaidia katika kutembelea kwenye shughuli zake za kila siku.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Taasisi ya MO DEWJI FOUNDATION inayojishughulisha na miradi ya kusaidia jamii Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwemo Afya, elimu na maji mwishoni mwa wiki imeweza kumpatia kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Aendesha baiskeli kwa mguu mmoja
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Baiskeli yamvunja mguu John Kerry
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
Kijana mwenye miaka 4 akatwa mguu Kenya
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Dewji sasa bilionea kijana Afrika
10 years ago
GPLKIJANA ALIYEVUNJIKA MGUU KATIKA VURUGU ZA UDOM APATIWA MSAADA
10 years ago
Mwananchi04 Mar
FORBES: Dewji sasa bilionea kijana Afrika
9 years ago
Dewji Blog27 Aug
ABBAS MAZIKU: Mfanyabiashara anayetamani kufuata nyayo za Bilionie kijana Barani Afrika Mo Dewji
Mfanyabiashara wa Kimataifa Abbas Maziku akiwa katika picha ya pamoja na Mfanyabiashara ambaye pia ni Bilionea kijana Barani Afrika, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji, ‘MO’ amabaye anafuata nyayo zake katika kufikia malengo yake kibiashara.
Na Mwandishi Wetu
BIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na matajiri wenye asili ya Kiasia.
Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi kuwa na uthubutu katika...
5 years ago
MichuziMO DEWJI FOUNDATION NA KLABU YA SIMBA WAHITIMISHA ZOEZI LA UGAWAJI WA BARAKOA JIJINI DAR .
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji imehitimisha zoezi la ugawaji wa Barakoa kwa wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam.
Zoezi hilo limehitimishwa kwa watendaji wa taasisi hiyo kukabidhi barakoa kwa ajili ya kujilinda na homa kali ya Mapafu (COVID-19) inayosababishwa na virusi vya corona.
Ikiwa ni siku ya tatu toka kuanza kwa ugawaji wa barakoa hizo, wananchi wamefurahia zoezi hilo la kuwakumbuka wananchi hususani wale...
9 years ago
Vijimambo27 Oct
MO DEWJI FOUNDATION YATANUA MBAWA, YASAIDIA UBORESHAJI WA KITUO CHA FURAHINI MKOANI KILIMANJARO
Baadhi ya vijana hao wakiwa darasani wakifurahia masomo wanayopatiwa ya kujiandaa na elimu ya sekondari katika kituo hicho cha Furahini mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya vijana hao wakiwa darasani wakiendelea na masomo katika jengo la kituo hicho cha Furahini ambacho kinatarajiwa kukabaratiwa na kwa msaada wa Mo Dewji Foundation.
Na Mwandishi wetuTAASISI ya misaada ya Mo Dewji Foundation imekubali kufadhili mradi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha Furahini (FYLC) wenye lengo la kuboresha...