Dewji sasa bilionea kijana Afrika
Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu nchini na Mbunge wa Singida Mjini (CCM), Mohammed Dewji (pichani) kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya mabilionea 29, akiwa tajiri kijana kuliko wote barani Afrika.Jarida la Forbes la Marekani limemtaja Dewji (39), katika nafasi ya 24 ya matajiri wa Afrika akiwa na utajiri wa Dola 1.3 bilioni za Marekani (Sh2.34 trilioni) unaotokana na biashara mbalimbali anazozifanya kupitia kampuni yake ya Mohammed Enterprises (Metl Group). “Dewji alibadilisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Mar
FORBES: Dewji sasa bilionea kijana Afrika
9 years ago
Dewji Blog27 Aug
ABBAS MAZIKU: Mfanyabiashara anayetamani kufuata nyayo za Bilionie kijana Barani Afrika Mo Dewji
Mfanyabiashara wa Kimataifa Abbas Maziku akiwa katika picha ya pamoja na Mfanyabiashara ambaye pia ni Bilionea kijana Barani Afrika, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji, ‘MO’ amabaye anafuata nyayo zake katika kufikia malengo yake kibiashara.
Na Mwandishi Wetu
BIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na matajiri wenye asili ya Kiasia.
Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi kuwa na uthubutu katika...
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Dewji bilionea namba moja, Rostam Aziz anamfuatia
9 years ago
Michuzi28 Aug
ABBAS MAZIKU: MFANYABIASHARA ANAYETAMANI KUFUATA NYAYO ZA BILIONEA MO DEWJI
![04.jpgk](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/04.jpgk_.jpg)
Na Mwandishi WetuBIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na matajiri wenye asili ya Kiasia.
Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi kuwa na uthubutu katika biashara...
10 years ago
Bongo513 Nov
Jarida la ‘Ventures Africa’ lamtaja Dewji bilionea namba moja Tanzania
10 years ago
Dewji Blog25 Mar
MO DEWJI FOUNDATION yampatia Baiskeli kijana aliyepooza mguu
Mtendaji Mkuu wa MO DEWJI FOUNDATION, Gerald Mgesi David akimkabidhi rasmi kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu (tricycle) itakayomsaidia katika kutembelea kwenye shughuli zake za kila siku.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Taasisi ya MO DEWJI FOUNDATION inayojishughulisha na miradi ya kusaidia jamii Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwemo Afya, elimu na maji mwishoni mwa wiki imeweza kumpatia kijana Paulo Ezekiel (23) msaada wa baiskeli ya magurudumu...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
TAHARIRI YA MO DEWJI BLOG: Watanzania tuwe na huruma! Imetosha sasa
Mwandishi Andrew Chale wa MO DEWJI BLOG akiwa na baadhi ya watoto wenye albinism.
Na Andrew Chale wa modewjiblog
Miongoni mwa taarifa ambazo mtandao huu wa habari wa Mo dewji blog, ilizozipata usiku wa jana Machi 8, ambapo taarifa hiyo iliyosomeka katika kiunganishi cha link hii: http://dewjiblog.com/2015/03/08/breaking-news-ukatili-tena-mtoto-mwingine-mwenye-albinism-mama-mtu-ajeruhiwa-vibaya/
Habari hii Inasikitisha na ni kitendo cha aibu katika Taifa kama Tanzania ambalo huko nje...
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mo Dewji azidi kunga’ra Afrika
MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, Mohamed Dewji ‘Mo’, amezidi kung’ara katika biashara ambako safari hii amejumuishwa kwenye orodha ya mabilionea 55 wa Afrika. Mo ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini...
9 years ago
Habarileo29 Nov
Dewji Mtu wa Mwaka Afrika
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL), Mohammed Dewji maarufu Mo, ameshinda tuzo ya Mtu wa Mwaka barani Afrika wa jarida maarufu la Fobes (Forbes Africa Person Of the Year 2015), katika hafla iliyofanyika usiku wa kuamkia jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini.