Mo Dewji azidi kunga’ra Afrika
MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, Mohamed Dewji ‘Mo’, amezidi kung’ara katika biashara ambako safari hii amejumuishwa kwenye orodha ya mabilionea 55 wa Afrika. Mo ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mjini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo29 Nov
Dewji Mtu wa Mwaka Afrika
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL), Mohammed Dewji maarufu Mo, ameshinda tuzo ya Mtu wa Mwaka barani Afrika wa jarida maarufu la Fobes (Forbes Africa Person Of the Year 2015), katika hafla iliyofanyika usiku wa kuamkia jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Dewji: Afrika tunaweza kutokomeza umaskini
MFANYABIASHARA maarufu hapa nchini, na Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji (CCM), amesema nchi za Afrika zina uwezo mkubwa wa kujikomboa katika lindi la umaskini iwapo sera nzuri zitatungwa na...
10 years ago
Vijimambo04 Mar
Dewji sasa bilionea kijana Afrika
10 years ago
Habarileo14 Nov
Dewji tajiri zaidi Afrika Mashariki
MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed `Mo’ Dewji (39), amezidi kupaa kwa utajiri, kiasi cha sasa kuwa ndiye bilionea kijana zaidi katika nchi za Afrika Mashariki, lakini pia akitajwa ndiye bilionea kijana zaidi barani Afrika.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Dewji atunukiwa tuzo uongozi bora Afrika
10 years ago
Mwananchi04 Mar
FORBES: Dewji sasa bilionea kijana Afrika
9 years ago
Habarileo18 Sep
Mo Dewji ang’ara tuzo wafanyabiashara Afrika
BILIONEA anayemiliki kampuni kubwa ya Mohammed Enterprises nchini (MeTL), Mohammed Dewji ‘Mo’ ameshinda Tuzo ya Mfanyabiashara wa Mwaka anayejitoa zaidi kuisaidia jamii kunufaika, kutokana na biashara zake, akiwa mshindi wa Afrika, Kanda ya nchi za Afrika Mashariki katika tuzo zilizofanyika juzi jijini Nairobi, Kenya.
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
MO DEWJI ATEULIWA KUWANIA TUZO YA HESHIMA BARANI AFRIKA
“NINAFURAHA KUKUARIFU KUWA NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA “ FORBES PERSON OF THE YEAR 2015”
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NINAOMBA KURA YAKO; Bonyeza Link hii: [ ttp://t.co/8mPEDbghsB] KUNIPIGIA KURA ILI TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANIA JUU ZAIDI NA KUIWAKILISHA VYEMA AFRIKA MASHARIKI.”
“I am humbled to be one of the nominees for Forbes Person of the Year and i hope to make Tanzania/East Africa & Africa Proud. Please share with your friends and cast your votes...