Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dewji tajiri zaidi Afrika Mashariki

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed `Mo’ Dewji (39), amezidi kupaa kwa utajiri, kiasi cha sasa kuwa ndiye bilionea kijana zaidi katika nchi za Afrika Mashariki, lakini pia akitajwa ndiye bilionea kijana zaidi barani Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!

Mohammed Dewji ndiye mtu tajiri zaidi nchini Tanzania, kwa mujibu wa orodha ya mwaka 2015 ya mtandao wa Forbes wa mabilionea 32 barani Afrika. Awali ni Rostam Aziz ndiye aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Forbes, Dewji mwenye umri wa miaka 39 ana utajiri wa dola bilioni 1.3. Utajiri huo unamfanya mfanyabiashara huyo ambaye […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Aliko Dangote: Mtu tajiri zaidi Afrika apewa bei ya kuinunua Arsenal

Mtu tajiri zaidi barani AfrikaAliko Dangote hatimaye amepatiwa bei ya kuinunua klabu ya Ligi kuu ya England Arsenal.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jumba refu zaidi Afrika mashariki lafunguliwa TZ

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na kati lazinduliwa nchini Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Soka ya Tanzania iko chini zaidi Afrika mashariki

Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka Afrika mashariki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania kujenga bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki

Tanzania imeanzisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo inayopangiwa kuwa bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

9 years ago

Vijimambo

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.
PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147.Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita...

 

9 years ago

Bongo5

Hanscana adai studio ya video anayojenga itakuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki

Muongozaji wa video na mshindi wa Tuzo za Watu, Hanscana amesema studio ya video anayoijenga itakuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki. Hanscana ameiambia Bongo5 kuwa ujenzi wa studio hiyo umeanza tayari na unatarajia kukamilika muda wowote. “Studio ninayojenga ni studio kubwa ambayo haijawahi kutokea Afrika Mashariki,” amesema. “Hata ukitaka nije nikuonyeshe studio yangu inavyojenga mwenyewe utakubali. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani