Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumba refu zaidi Afrika mashariki lafunguliwa TZ

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na kati lazinduliwa nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.
PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147.Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita...

 

10 years ago

Habarileo

Dewji tajiri zaidi Afrika Mashariki

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed `Mo’ Dewji (39), amezidi kupaa kwa utajiri, kiasi cha sasa kuwa ndiye bilionea kijana zaidi katika nchi za Afrika Mashariki, lakini pia akitajwa ndiye bilionea kijana zaidi barani Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Soka ya Tanzania iko chini zaidi Afrika mashariki

Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka Afrika mashariki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kujenga bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki

Tanzania imeanzisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo inayopangiwa kuwa bandari kubwa zaidi Afrika Mashariki.

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

Bongo5

Hanscana adai studio ya video anayojenga itakuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki

Muongozaji wa video na mshindi wa Tuzo za Watu, Hanscana amesema studio ya video anayoijenga itakuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki. Hanscana ameiambia Bongo5 kuwa ujenzi wa studio hiyo umeanza tayari na unatarajia kukamilika muda wowote. “Studio ninayojenga ni studio kubwa ambayo haijawahi kutokea Afrika Mashariki,” amesema. “Hata ukitaka nije nikuonyeshe studio yangu inavyojenga mwenyewe utakubali. […]

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO REFU NCHI UKANDA WA MAZIWA MAKUU NA LA NNE KWA UREFU AFRIKA

Hili ndilo jengo refu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima. Jengo hili linamilikiwa na Mfukowa Pensheni wa PSPF

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA KWA NCHI CHANGA ZA AFRIKA LAFUNGULIWA, MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, kwa niaba yaya Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Abdallah Kigoda, akifungua Kongamano la uwezeshaji biashara baada ya mkutano mkuu wa Bali kwa nchi changa linalofanyika Mkoani Mwanza, Mei 16 hadi 16, 2014. Meza kuu katika Kongamano hilo. Viongozi Wakuu katika Kongamano hilo, Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Bw Lucas Saronga, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, Profesa Francis...

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani