84 kizimbani vurugu Udom, Serikali yajisafisha
Wanafunzi 84 wa programu maalum ya stashahada ya ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma(udom) waliofanya mgomo na kuandamana kushinikiza kulipwa madai yao, juzi wamepandishwa kizimbani kwa kosa la kukusanyika bila kibali maalum.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UdapVcRNixvQyOrPXIx1FO*aYl17atrRdRVR75h15cFOfC-J4qx4aQiqw7hTsi0DkM3OXfGF076ARPx1cWWq*UA3t0Tme5xA/IMG20150116WA0001.jpg)
KIJANA ALIYEVUNJIKA MGUU KATIKA VURUGU ZA UDOM APATIWA MSAADA
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
16 kizimbani vurugu za wafugaji Siha
WAKAZI 16 wa Kijiji cha Miti Mirefu na Sanya Juu wilayani Siha, Kilimanjaro wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Hai wakikabiliwa na makosa ya kuvamia shamba la mwekezaji, kampuni ya...
9 years ago
Mwananchi30 Oct
38 kizimbani kwa kufanya vurugu Mbagala wakati wa uchaguzi
11 years ago
Habarileo10 Jun
‘Serikali ipongezwe uwepo wa UDOM’
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM), Profesa Idrisa Kikula amesema uwepo wa chuo hicho ni kazi nzuri iliyofanywa na serikali ambayo kila mtu anatakiwa kujivunia.
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
TFF yajisafisha upupu wa Ndumbaro
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeyatolea ufafanuzi madai ya wakili wa kujitegemea aliyefungiwa kujihusisha na soka kwa miaka saba Dk. Damas Ndumbaro, aliyoyitoa katika mkutano wake na wanahabari, kuhusu uhalali...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ovEfPauQmFo/VUKsJ9rBw_I/AAAAAAAHUak/zFFDqECj9Ag/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM
![](http://4.bp.blogspot.com/-ovEfPauQmFo/VUKsJ9rBw_I/AAAAAAAHUak/zFFDqECj9Ag/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5Xo0SpqrF7E/VUKsKXlPpMI/AAAAAAAHUao/Xu0zraAuctc/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BSuXIHP3ZuQ/VUKsKVRqL_I/AAAAAAAHUas/6Tq65ZnsvSc/s1600/unnamed%2B(27).jpg)
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kizimbani kwa kujifanya mtumishi wa serikali
MFANYABIASHARA Selemani Musa (46) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kwa tuhuma za kujifanya mtumishi wa Serikali. Karani Katherine Maduhu alidai mbele ya Hakimu Mwajuma Diwani kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Novemba 20, mwaka jana Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
10 years ago
Habarileo02 Dec
Serikali yaonya siasa za kihuni, vurugu
VYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kuendesha siasa za kistaarabu na kutokuwa vyanzo vya vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo kwenye baadhi ya maeneo nchini viongozi wameripotiwa kutekwa wakati wakirejesha fomu huku maeneo mengine watu wakitajwa kuzuia uandikishaji wa wapiga kura.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OK1L9hq-5uI/UzMta3xljgI/AAAAAAAFWrU/Y1f8Q0lnotA/s72-c/unnamed+(9).jpg)
RAIA WA KENYA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU SERIKALI NA TCRA