Kizimbani kwa kujifanya mtumishi wa serikali
MFANYABIASHARA Selemani Musa (46) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kwa tuhuma za kujifanya mtumishi wa Serikali. Karani Katherine Maduhu alidai mbele ya Hakimu Mwajuma Diwani kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Novemba 20, mwaka jana Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...
11 years ago
Michuzi.jpg)
RAIA WA KENYA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU SERIKALI NA TCRA
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Rais Magufuli amfuta kazi mtumishi wa serikali aliyechana kitabu kitakatifu cha Kurani
11 years ago
Habarileo03 Sep
Mbaroni kwa kujifanya ofisa usalama
MKAZI wa jijini Dar es Salaam, Gunner Meena (40), anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kujifanya mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa.
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Sep
Mbaroni kwa kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Kinyerezi, Dar es Salaam, Saimon Meena, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kujifanya Ofisa Usalama wa Taifa.
Hatua hiyo ya Meena (40), ililenga kumwezesha kufanya utapeli ili kujipatia sh. milioni 25 kutoka kwa mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya Somalia.
Meena, maarufu kwa jina la Gunner, anadaiwa kuwatisha baadhi ya wafanyabiashara jijini Dar es Saalam kuwa wanahusika na matukio ya kigaidi hivyo kuhatarisha usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamishna wa...
11 years ago
Habarileo17 Oct
Atuhumiwa kutapeli mil 2.3/- kwa kujifanya Usalama wa Taifa
POLISI mkoani Mtwara inamshikilia Juma Idrisa (28) mkazi wa Wapiwapi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Sh milioni 2.3 kwa njia ya udanganyifu kwa kumdanganya mkazi wa kijiji cha Msikisi kata ya Namatutwe, Yusuph Nkondola kuwa yeye ni Ofisa wa Usalama wa Taifa.
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Mtumishi wa ndani ajiua kwa khanga
11 years ago
Michuzi
ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KUJIFANYA AFISA USALAMA WA TAIFA

10 years ago
StarTV03 Nov
Polisi Kigoma yamtia mbaroni James Charles  kwa kujifanya JWTZ
Polisi mkoani wa Kigoma wamefanikiwa kumkamata mtu mmoja mkazi kwa kijiji cha Mwamila wilaya ya Uvinza James Charles kwa tuhuma za kujifanya kuwa ni askari wa jeshi la wananchi wa Tanzaniua JWT, akitumia fursa hiyo kujipatia fedha kinyume cha sheria
James Charles aliyekamatwa kufuatia taarifa zilizotolewa na raia wema kwa jeshi hilo anatuhumiwa kufanya kazi za afisa uhamiaji jambo ambalo pia ni kosa kisheria .
Akizungumza na waandishi wa habari ofini kwake kamanda wa polisi mkoa...