Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtumishi wa ndani ajiua kwa khanga

Mtumishi wa kazi za ndani aliyejulikana kwa jina la Rehema,  amekutwa amekufa kwa kujinyonga kwa khanga chumbani kwake kwenye nyumba ya mwajiri wake katika Mtaa wa Ngazengwa, Kata ya Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Utata wazidi kugubika kifo cha mtumishi wa ndani

Wakati utata ukizidi kugubika kifo cha mtoto Asela Triphone (16), aliyekuwa mfanyakazi wa ndani mkoani Arusha, wananchi wa Kijiji cha Buyango wilayani Muleba wamevamia na kuchoma nyumba mbili za aliyekuwa mwajiri wake na kufyeka migomba wakimtuhumu kumuua binti huyo.

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa kujifanya mtumishi wa serikali

MFANYABIASHARA Selemani Musa (46) amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo kwa tuhuma za kujifanya mtumishi wa Serikali. Karani Katherine Maduhu alidai mbele ya Hakimu Mwajuma Diwani kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Novemba 20, mwaka jana Mtaa wa Msimbazi Kariakoo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtumishi NMB kortini kwa wizi wa Sh1 bilioni

Mtumishi wa Benki ya NMB, Mtoro Suleiman na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kuiibia benki hiyo zaidi ya Sh1 bilioni na kutakatisha fedha haramu.

 

11 years ago

Habarileo

Tanesco lawamani kwa kuchelewesha haki ya mtumishi wake

HASSAN Jambia mfanyakazi wa zamani wa Shirika la umeme aliyeachishwa kazi na baadaye akashinda kesi amelilalamikia Shirika la Umeme (Tanesco) kwa kugoma kumlipa fedha zake licha ya kushinda kesi katika mahakama zote.

 

11 years ago

Habarileo

Mtumishi wa NMB Songea ajinyonga kwa shuka gesti

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert KiondoWATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti ya kujinyonga, akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Songea, Wilhelim Swai (37) ambaye amejinyonga kwa kutumia shuka katika nyumba ya kulala wageni.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu

Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam akiuguza majeraha yanayotokana na kuteswa na kufungiwa ndani kwa miaka mitatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi wa Libya ajiua kwa risasi

KAIMU Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amejiua kwa kujipiga risasi kifuani akiwa ofisini kwake. Balozi huyo, amejiua juzi saa 7 mchana katika jengo la Ubalozi huo jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani