Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu

Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam akiuguza majeraha yanayotokana na kuteswa na kufungiwa ndani kwa miaka mitatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI NA KUMCHOMA PASI AACHIWA KWA DHAMANA

Amina Said Maige (mwenye miwani) akisubiria kupandishwa kizimbani. Amina akiwa chini ya ulinzi akisubiri kupanda kizimbani. ...akijiziba kwa aibu kabla ya kupanda kizimbani.…

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke adaiwa kumng'ata 'housegirl'

MWANAMKE aliyekuwa akituhumiwa kumng’ata msichana wake wa kazi sehemu mbalimbali za mwili , Amina Maige (42), mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam amefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kudhuru mwili.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka mitatu ya kuchomwa kwa pasi na kung’atwa

“Nilipofika tuliishi vizuri, lakini 2012 alibadilika na kuanza kuniadhibu, mara alinituhumu kutokufagia au kutopiga deki vizuri au chakula kuwa na chumvi nyingi. Mwanzoni alitumia fimbo alipohisi siumii alianza kuning’ata na kunichoma na pasi,” alisema.

 

11 years ago

Habarileo

Akana kumng'ata 'housegirl' wake

MKAZI wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi

Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.

 

10 years ago

GPL

DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO

Richard Konga, Arusha
DEREVA wa bodaboda, Adinan Adam, mkazi wa Kata ya Olorieni, mkoani Arusha ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumng’ata mdomo Shabani Temba na kuondoka nao. Kijana Shabani Temba aliyepigwa na kung'twa na dereva wa bodaboda, Adinan Adam. Akizungumza kwa uchungu wakati akitoa maelezo katika Kituo Kidogo cha Polisi cha Olorieni, Shabani alisema ameshangazwa kujikuta anapigwa kisha...

 

10 years ago

CloudsFM

MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.

MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi yake ya Mbunge wa Jimbo la Ukerewe jijini Mwanza.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini

>Kelele na sauti za zomeazomea jana zilitawala kutoka kwa watu waliokusanyika nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakati Amina Maige, anayekabiliwa na shtaka la kujeruhi mfanyakazi wa ndani, alipokuwa akiwasili eneo hilo.

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Afunguka ya Moyoni Mtoto Wake Kufiakiasha Miaka Mitatu

Alhamdulilah Asante MUNGU kwa kila kitu Asante Kwa zawadi ya Fatma hakika furaha yangu haiwezi kusemeka ni faraja ni tumaini ni kila kitu kwangu Asante kunifanya niitwe mama wewe kwangu ni muangaza uliojaa tumaini la pekee @fetydamwan na muomba mola anijalie uhai na uzima Afya njema na nguvu hekma na busara nikulee vyema mama nikusomeshe ili uje kunilea siku za usoni ukawe mtoto wa kheri unijue mimi mama na ukawajue kina mama wote ukawapende kama unavo ipenda na ukawaheshimu NAKUPENDA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani