Miaka mitatu ya kuchomwa kwa pasi na kung’atwa
“Nilipofika tuliishi vizuri, lakini 2012 alibadilika na kuanza kuniadhibu, mara alinituhumu kutokufagia au kutopiga deki vizuri au chakula kuwa na chumvi nyingi. Mwanzoni alitumia fimbo alipohisi siumii alianza kuning’ata na kunichoma na pasi,†alisema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu
Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam akiuguza majeraha yanayotokana na kuteswa na kufungiwa ndani kwa miaka mitatu.
10 years ago
CloudsFM16 Jan
MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.
MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi yake ya Mbunge wa Jimbo la Ukerewe jijini Mwanza.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Yajue malezi kwa mtoto chini ya miaka mitatu
Malezi na ukuaji wa mtoto ni masuala muhimu kwa kila mzazi. Katika makala haya nitaeleza kidogo kuhusu maendeleo ya mtoto tangu anapozaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitatu.
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Wazazi wamfunga mnyororo kijana kwa miaka mitatu
>Unakumbuka masaibu ya mtoto, hayati Nasra Mvungi aliyeishi kwenye boksi miaka mitatu? Mkazi wa Mbondole, Wilaya ya Ilala, Uwesu Mansuri (28) naye ameishi kwa kufungwa mnyororo mguuni na wazazi wake kwa miaka mitatu kwa madai ya kulinda usalama wake.
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi
Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.
9 years ago
Bongo522 Oct
Usimchokoze Dogo Janja, amejifunza karate kwa miaka mitatu
Umbo lake ni dogo kama jina lake, lakini Dogo Janja anaweza kukutoa nishai kwa mkong’oto wa hali ya juu pindi ukimchokoza. Akizungumza katika kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Dogo Janja alisema mpaka sasa ana mkanda mweupe na wa njano. “Nimecheza kick boxer kwa miaka miwili,” alisema. “Nimecheza ‘Jeet Kune Do’ ambayo anachezaga Bruce […]
11 years ago
MichuziMARA GROUP YAPATA UONGOZI MPYA UTAKAOONGOZA KWA MIAKA MITATU
Jamii ya Mara Group ya Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imemchagua Philemon Oboro, kuwa Mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuwaangusha wapinzani wake watatu.
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...
10 years ago
MichuziVodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(kulia)wakielekezwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara kwa msimu wa 2015/16. Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(katikati)wakisaini mkataba...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ally Kiba: Aeleza mambo matatu yaliyomsimamisha kuimba muziki kwa miaka mitatu
Kwa muda mrefu wafuasi wa mwanamuziki Ally Salehe Kiba maarufu Alikiba, wamekuwa wakijiuliza sababu zilizomfanya mwimbaji huyo kukaa kando ya muziki kwa muda mrefu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania