Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yajue malezi kwa mtoto chini ya miaka mitatu

Malezi na ukuaji wa mtoto ni masuala muhimu kwa kila mzazi. Katika makala haya nitaeleza kidogo kuhusu maendeleo ya mtoto tangu anapozaliwa hadi kufikia umri wa miaka mitatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi

Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Afunguka ya Moyoni Mtoto Wake Kufiakiasha Miaka Mitatu

Alhamdulilah Asante MUNGU kwa kila kitu Asante Kwa zawadi ya Fatma hakika furaha yangu haiwezi kusemeka ni faraja ni tumaini ni kila kitu kwangu Asante kunifanya niitwe mama wewe kwangu ni muangaza uliojaa tumaini la pekee @fetydamwan na muomba mola anijalie uhai na uzima Afya njema na nguvu hekma na busara nikulee vyema mama nikusomeshe ili uje kunilea siku za usoni ukawe mtoto wa kheri unijue mimi mama na ukawajue kina mama wote ukawapende kama unavo ipenda na ukawaheshimu NAKUPENDA...

 

11 years ago

GPL

MTOTO CHINI YA MIAKA 18 AFANYA UKAHABA

Na Waandishi Wetu
KIKOSI kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ Kanda ya Ziwa, kinaendelea kufukua uchafu unaofanyika jijini hapa, safari hii kimemnasa binti mwenye umri chini ya miaka 18 akifanya ukahaba wikiendi iliyopita bila wasiwasi wowote. OFM Kanda ya Ziwa, kikiwa ni kitengo kipya kilichoteuliwa rasmi kushughulikia kadhia za mikoa yote inayozunguka Ziwa Victoria kilinasa tukio hili laivu na kulifuatilia kwa...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Mtoto afichwa uvunguni kwa miezi mitatu

Picha na maktaba SAKATA la mtoto Devota Malole mwenye umri wa miaka mitano, ambaye ni mlemavu aliyeibuliwa baada ya kufichwa chini ya uvungu wa kitanda kwa muda wa miezi mitatu huko Matongolo, Dumila,Tarafa ya Magole wilayani Kilosa limeibua mambo mapya, baada ya kubaini kuwa aliyesababisha kuokolewa ni mume wa mama wa binti huyo. Mashuhuda waliokuwepo wakati wa kufichuliwa kwa mtoto huyo, wakiwemo majirani na wapangaji wa nyumba aliyokuwa akiishi, walisema mpangaji wa chumba hicho,...

 

10 years ago

CloudsFM

MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.

MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi yake ya Mbunge wa Jimbo la Ukerewe jijini Mwanza.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka mitatu ya kuchomwa kwa pasi na kung’atwa

“Nilipofika tuliishi vizuri, lakini 2012 alibadilika na kuanza kuniadhibu, mara alinituhumu kutokufagia au kutopiga deki vizuri au chakula kuwa na chumvi nyingi. Mwanzoni alitumia fimbo alipohisi siumii alianza kuning’ata na kunichoma na pasi,” alisema.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi wamfunga mnyororo kijana kwa miaka mitatu

>Unakumbuka masaibu ya mtoto, hayati Nasra Mvungi aliyeishi kwenye boksi miaka mitatu? Mkazi wa Mbondole, Wilaya ya Ilala, Uwesu Mansuri (28) naye ameishi kwa kufungwa mnyororo mguuni na wazazi wake kwa miaka mitatu kwa madai ya kulinda usalama wake.

 

9 years ago

Bongo5

Usimchokoze Dogo Janja, amejifunza karate kwa miaka mitatu

Umbo lake ni dogo kama jina lake, lakini Dogo Janja anaweza kukutoa nishai kwa mkong’oto wa hali ya juu pindi ukimchokoza. Akizungumza katika kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Dogo Janja alisema mpaka sasa ana mkanda mweupe na wa njano. “Nimecheza kick boxer kwa miaka miwili,” alisema. “Nimecheza ‘Jeet Kune Do’ ambayo anachezaga Bruce […]

 

11 years ago

Michuzi

MARA GROUP YAPATA UONGOZI MPYA UTAKAOONGOZA KWA MIAKA MITATU

Jamii ya Mara Group ya Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imemchagua Philemon Oboro, kuwa Mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuwaangusha wapinzani wake watatu.
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani