MTOTO CHINI YA MIAKA 18 AFANYA UKAHABA
![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDMq5lnaXt-bexX0Ip4JWCKqvTv70dbpqA4zR9xkb4IXUc4jyn3iTC8vg7VWsbm5d27yv1s2YNiKji09hA2XBPBH/mtoto.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu KIKOSI kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ Kanda ya Ziwa, kinaendelea kufukua uchafu unaofanyika jijini hapa, safari hii kimemnasa binti mwenye umri chini ya miaka 18 akifanya ukahaba wikiendi iliyopita bila wasiwasi wowote. OFM Kanda ya Ziwa, kikiwa ni kitengo kipya kilichoteuliwa rasmi kushughulikia kadhia za mikoa yote inayozunguka Ziwa Victoria kilinasa tukio hili laivu na kulifuatilia kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Yajue malezi kwa mtoto chini ya miaka mitatu
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/Untitled9.jpg)
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...
11 years ago
Dewji Blog22 May
INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4
Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.
MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...
10 years ago
Mtanzania21 Feb
Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi
Na Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...
10 years ago
Vijimambo20 Oct
Mtoto aliyeibwa apatikana chini ya mti
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kisime--October20-2014.jpg)
Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita na kupatikana Ijumaa ambayo gazeti hili liliandika habari za kuibwa kwake.
Baada ya taarifa za kupotea mtoto huyo wa kike ambaye hadi...
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Karume: Rais bora awe na miaka si chini ya 50