Mtoto aliyeibwa apatikana chini ya mti
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma,David Misime.Mtoto aliyeibwa akiwa na umri wa siku nane baada ya mama yake, Teddy Bishaliza (19), kunyweshwa juisi iliyosadikiwa kutiwa dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake eneo la Pembe ya Ng'ombe mtaa wa Chidachi, Manispaa ya Dodoma, amepatikana akiwa hai chini ya mti.
Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita na kupatikana Ijumaa ambayo gazeti hili liliandika habari za kuibwa kwake.
Baada ya taarifa za kupotea mtoto huyo wa kike ambaye hadi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Mtoto aliyeibwa apatikana
10 years ago
VijimamboWanafunzi wasomea chini ya mti
WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao.
Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Wanafunzi Tunduru wasomea chini ya Mti
WANAFUNZI wa darasa la awali shule ya Msingi Nakayaya wilayani hapa mkoani Ruvuma, wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum. Hali hiyo...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Mwandosya akusanya wadhamini chini ya mti
MGOMBEA anayewania kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu ujao, Profesa Mark Mwandosya amewataka wadhamini wake kutosikitika pale wanaposikia akibezwa kwa sababu amedhaminiwa na wanaCCM 30 waliowekwa kwa mujibu wa taratibu za chama.
10 years ago
GPLWANAFUNZI WA CHEKECHEA TUNDURU WASOMEA CHINI YA MTI
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Mti waua mama, mtoto
MAMA mjamzito, Sara Leonard (22) na mtoto wake, Christina Salum (4) , wakazi wa Kijiji cha Mgusu, wilayani Geita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kudondokewa na mti. Tukio...
9 years ago
BBCSwahili08 Sep
Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4
9 years ago
VijimamboMTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mtoto aliyezamia ndege apatikana bandarini