Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wasomea chini ya mti

Wanafunzi wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa wamekaa chini na mwalimu wao pembeni kuonesha sehemu ambayo hutumika kama darasa wawapo masomoni.Tunduru

WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao.

Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Tunduru wasomea chini ya Mti

WANAFUNZI wa darasa la awali shule ya Msingi Nakayaya wilayani hapa mkoani Ruvuma, wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum. Hali hiyo...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA CHEKECHEA TUNDURU WASOMEA CHINI YA MTI

Wanafunzi wakiendelea na masomo wakiwa na mwalimu wao. WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao. Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule hiyo hivi karibuni na kuwakuta wanafunzi wakiwa wamekaa chini huku wakiendelea na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi darasa la kwanza hadi la saba wasomea madarasa matatu

Shule nyingi za msingi katika Manispaa ya Morogoro zinakabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini kwa Shule ya Msingi Ujirani Mwema, changamoto hizo zimezidi kipimo.

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya akusanya wadhamini chini ya mti

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark MwandosyaMGOMBEA anayewania kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu ujao, Profesa Mark Mwandosya amewataka wadhamini wake kutosikitika pale wanaposikia akibezwa kwa sababu amedhaminiwa na wanaCCM 30 waliowekwa kwa mujibu wa taratibu za chama.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto aliyeibwa apatikana chini ya mti

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma,David Misime.Mtoto aliyeibwa akiwa na umri wa siku nane baada ya mama yake, Teddy Bishaliza (19), kunyweshwa juisi iliyosadikiwa kutiwa dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake eneo la Pembe ya Ng'ombe mtaa wa Chidachi, Manispaa ya Dodoma, amepatikana akiwa hai chini ya mti.

Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita na kupatikana Ijumaa ambayo gazeti hili liliandika habari za kuibwa kwake.

Baada ya taarifa za kupotea mtoto huyo wa kike ambaye hadi...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge ataka kufahamu mafanikio ya ‘Kata Mti Panda Mti

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Ummy MwalimuTANGU kampeni ya upandaji miti ya ‘Kata Mti Panda Mti’ ianzishwe mwaka 1998, idadi ya miti 1,864,452,063 imepandwa kote nchini, Bunge limefahamishwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi walala chini Geita

MBUNGE wa Busanda mkoani Geita, Lolensia Bukwiba amemwaga machozi baada ya kukuta wanafunzi wa kike zaidi 25 wa shule ya Sekondari Nyakamwaga wakilala chini kwa kukosa vitanda. Hali hiyo ilijitokeza...

 

10 years ago

CloudsFM

WANAFUNZI NJOMBE WAWEKWA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA KUCHOMA SHULE

Kamishna wa Elimu Nchini Ameifunga Shule ya Sekondari ya Njombe (NJOSS) Kwa Muda wa Mwezi Mmoja Kutokana na Vurugu Zilizotokea Katika Shule Hiyo na Kusababisha Hasara ya Zaidi ya Shilingi Milioni Moja.Akifunga Shule Hiyo Kwa niaba ya Kamishna wa Elimu Nchini, Afisa Elimu Shule za Sekondari Mkoani Njombe Said Nyasiro Amesema Wameifunga Shule Hiyo Kutokana Uharibifu Uliofanywa na Wanafunzi Ikiwemo Kuchoma Jengo la Bweni na Karakana Pamoja Kupisha Uchunguzi Juu ya Tukio Hilo.Aidha Afisa Elimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani