Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi darasa la kwanza hadi la saba wasomea madarasa matatu

Shule nyingi za msingi katika Manispaa ya Morogoro zinakabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini kwa Shule ya Msingi Ujirani Mwema, changamoto hizo zimezidi kipimo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

9 years ago

Mwananchi

Kila la heri wanafunzi darasa la saba

Wanafunzi wa darasa la saba nchini, leo wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, huku wakiwa na shauku kubwa kufanya mtihani huo kwa kutumia mfumo mpya wa ufanyaji na usahihishaji wa mitihani ambao ulianza kutumika nchini miaka mitatu iliyopita.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo


NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOMALIZA DARASA LA SABA TUWATUNZE KIMAADILI WAKISUBIRI MATOKEO

LEO watoto wetu wapatao 808,111 wanamaliza elimu yao ya msngi ya Darasa la Saba nchini kote.
Hii ni idadi tu ya wale ambao wamejisajili kufanya mitihani hiyo kwa mawa huu na Baraza la Mitihani kuwatambua katika takwimu zao hapa nchini kwa mwaka huu wa 2014 lakini huenda vijana waliostahili kumaliza elimu hiyo ingekuwa kubwa zaidi ukilinganisha na wale waliojindikisha darasa la kwanza 2007.
Nimesema watoto wetu wanamaliza kwakua tu na mimi katika hao 808,111 bimnti yangu ni mmoja wapo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI DARASA LA SABA SHULE YA ADOLPH KOPING BUKOBA WATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA.

Wanafunzi wa Darasa la Saba (Adolph Kolping English Medium Primary School) wametembelea kiwanda cha Kagera Sugar kilichopo Bukoba na kujionea utengenezaji wa Sukari ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao. Kiwanda cha Sukari cha Kagera tayari kilishaanza kuzalisha ziada ya sukari inayohitajika katika soko la sukari Nchini hali inayopelekea kuweza kupunguza tatizo la upatikanaji wa sukari Tanzania na Nchi za jirani zinazotumia sukari kutoka kiwandani hapo.Kiwanda hicho cha Sukari cha Kagera kiko...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akiwa ameshikilia Taulo laini za kike na wanafunzi wanaosoma darasa la saba katika shule mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

Wanafunzi wasomea chini ya mti

Wanafunzi wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa wamekaa chini na mwalimu wao pembeni kuonesha sehemu ambayo hutumika kama darasa wawapo masomoni.Tunduru

WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao.

Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Tunduru wasomea chini ya Mti

WANAFUNZI wa darasa la awali shule ya Msingi Nakayaya wilayani hapa mkoani Ruvuma, wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum. Hali hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT

1Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara jana.David na steven.23Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin akipima sikio kwa mmoja wa watoto waliohudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani