Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo
NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Mitihani darasa la saba yaanza leo
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
BARAZA la Taifa la Mitihani (NECTA) limesema watahiniwa 775,729 wakiwamo wasichana 414,227 na wavulana 361,502, wanatarajiwa kufanya mitihani ya taifa ya kuhitimu darasa la saba leo katika shule 16,096 za Tanzania bara.
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde alisema jana kuwa mitihani hiyo itafanyika kwa siku mbili (leo na kesho) na itahusisha masomo matano ya Kiswahili, Kiingereza, Hisabati, Sayansi na Maarifa ya Jamii.
“Maandalizi yote ya mitihani...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Watahiniwa darasa la saba zaidi ya 700,000 kuanza mitihani kesho
9 years ago
GPL16 Nov
9 years ago
StarTV09 Sep
Hali ya Wanafunzi wa darasa la 7 wanaofanya mitihani yao ya mwisho
Ikiwa ni siku ya kwanza ya watahiniwa wa Darasa la Saba kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya msingi nchi nzima, baadhi ya Shule za msingi jijini Dar Es Salaam zimeoneka kuwa katika hali ya utulivu na amani .
Wanafunzi wameendelea na maandalizi ya mtihani huo, wengine wakiwa wamekaa katika makundi wakijadiliana namna walivyoanza mtihani wengi wao wakiwa na matarajio ya kufanza vyema katika mitihani hiyo.
StarTv imepita katika Shule ya Msingi Kinondoni iliyopo katika Manispaa ya...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
21,540 kufanya mtihani darasa la saba
WANAFUNZI 21,540 watafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mkoani Iringa mwaka huu ikiwa ni pungufu ya waliofanya mtihani huo mwaka jana. Mwaka jana wanafunzi 23,149 mkoani hapa walifanya mtihani...
11 years ago
BBCSwahili19 May
Wanafunzi kambini Syria kufanya mitihani
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Kila la heri wanafunzi darasa la saba
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Pongezi Kanda ya Ziwa kufanya vizuri darasa la saba