21,540 kufanya mtihani darasa la saba
WANAFUNZI 21,540 watafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mkoani Iringa mwaka huu ikiwa ni pungufu ya waliofanya mtihani huo mwaka jana. Mwaka jana wanafunzi 23,149 mkoani hapa walifanya mtihani...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5vkFo25XrAI/default.jpg)
Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-hhe0Obb5yFQ/VN-IGijnaaI/AAAAAAAAoU4/LlkHZF-W1u4/s72-c/kikwete%2B(9).jpg)
KWAHERI MTIHANI WA DARASA SABA MASHULENI WAFUTWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-hhe0Obb5yFQ/VN-IGijnaaI/AAAAAAAAoU4/LlkHZF-W1u4/s1600/kikwete%2B(9).jpg)
10 years ago
Habarileo09 Sep
Darasa la saba kuanza mtihani wa mwisho Jumatano
WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.
9 years ago
Habarileo22 Nov
10,000 kufanya mtihani wa sampuli darasa la II
SAMPULI kwa ajili ya kujiandaa na mtihani wa taifa wa kujipima wa darasa la pili kwa watahiniwa takribani 10,000 inaanza kesho katika mikoa 11.
9 years ago
Dewji Blog01 Sep
Taasisi ya IEP yatoa matokeo ya mtihani wa dini wa darasa la saba mwaka huu
Na Ally Daud-MAELEZO
Jopo la Elimu ya Kiislamu nchini (IEP) limetangaza matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa dini hiyo wa kuhitimu darasa la saba Agosti 12 mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi wa jopo hilo Bw. Suleimani Daud alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bw. Suleimani amesema kuwa wanafunzi ambao walifanya mtihani huo idadi yao ilikuwa 86,613 kati ya wanafunzi 93,101 waliojisajili nchini kutoka shule 3094 ambazo wanafunzi walifanya...
9 years ago
Habarileo09 Sep
775,729 kufanya mtihani darasa la 7 leo
JUMLA ya watahiniwa 775,729 wanatarajiwa kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya msingi utakaofanyika leo na kesho nchi mzima. Aidha, serikali imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kumzuia mtahiniwa yeyote kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile, hata ikiwa ni kutolipa ada.
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y2RDaDVFLGw/VjZDdmWRWDI/AAAAAAAAHfQ/w9W2x3lRif0/s640/GREEN%2BHILL%2BPIC%2B1.jpg)
Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.
Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Pongezi Kanda ya Ziwa kufanya vizuri darasa la saba
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo
NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...