Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWAHERI MTIHANI WA DARASA SABA MASHULENI WAFUTWA


Jana mheshimiwa Rais wa Tanzania alizindua Sera mpya ya Elimu ambapo kati ya mengi yaliyomo ndani ya sera hiyo ni kufutwa kwa mtihani wa Darasa la Saba na Elimu ya Msingi kuongezwa hadi Kidato cha Nne..pia lugha ya kiswahili ndio itakuwa ikutumika katika masomo na kukitupilia mbali kingereza..Soma zaidi hapa chini:The newly-launched education system has abolished national examinations for primary school leavers and extended basic education to four years at secondary level—meaning students...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

21,540 kufanya mtihani darasa la saba

WANAFUNZI 21,540 watafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mkoani Iringa mwaka huu ikiwa ni pungufu ya waliofanya mtihani huo mwaka jana. Mwaka jana wanafunzi 23,149 mkoani hapa walifanya mtihani...

 

9 years ago

Michuzi

Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...

 

10 years ago

Habarileo

Darasa la saba kuanza mtihani wa mwisho Jumatano

WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya IEP yatoa matokeo ya mtihani wa dini wa darasa la saba mwaka huu

KHAMISI

Na Ally Daud-MAELEZO

Jopo la Elimu ya Kiislamu nchini (IEP) limetangaza matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa dini hiyo wa kuhitimu darasa la saba Agosti 12 mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi wa jopo hilo Bw. Suleimani Daud alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

Bw. Suleimani amesema kuwa wanafunzi ambao walifanya mtihani huo idadi yao ilikuwa 86,613 kati ya wanafunzi 93,101 waliojisajili nchini kutoka shule 3094 ambazo wanafunzi walifanya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba

Na:George Binagi-GB Pazzo

Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.

Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

9 years ago

Habarileo

10,000 kufanya mtihani wa sampuli darasa la II

SAMPULI kwa ajili ya kujiandaa na mtihani wa taifa wa kujipima wa darasa la pili kwa watahiniwa takribani 10,000 inaanza kesho katika mikoa 11.

 

9 years ago

Habarileo

775,729 kufanya mtihani darasa la 7 leo

JUMLA ya watahiniwa 775,729 wanatarajiwa kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya msingi utakaofanyika leo na kesho nchi mzima. Aidha, serikali imesema hakuna mtu yeyote atakayeruhusiwa kumzuia mtahiniwa yeyote kufanya mtihani kwa sababu yoyote ile, hata ikiwa ni kutolipa ada.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani