Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015
![](http://img.youtube.com/vi/5vkFo25XrAI/default.jpg)
Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog01 Sep
Taasisi ya IEP yatoa matokeo ya mtihani wa dini wa darasa la saba mwaka huu
Na Ally Daud-MAELEZO
Jopo la Elimu ya Kiislamu nchini (IEP) limetangaza matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa dini hiyo wa kuhitimu darasa la saba Agosti 12 mwaka huu.
Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi wa jopo hilo Bw. Suleimani Daud alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Bw. Suleimani amesema kuwa wanafunzi ambao walifanya mtihani huo idadi yao ilikuwa 86,613 kati ya wanafunzi 93,101 waliojisajili nchini kutoka shule 3094 ambazo wanafunzi walifanya...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
21,540 kufanya mtihani darasa la saba
WANAFUNZI 21,540 watafanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mkoani Iringa mwaka huu ikiwa ni pungufu ya waliofanya mtihani huo mwaka jana. Mwaka jana wanafunzi 23,149 mkoani hapa walifanya mtihani...
10 years ago
Habarileo09 Sep
Darasa la saba kuanza mtihani wa mwisho Jumatano
WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-hhe0Obb5yFQ/VN-IGijnaaI/AAAAAAAAoU4/LlkHZF-W1u4/s72-c/kikwete%2B(9).jpg)
KWAHERI MTIHANI WA DARASA SABA MASHULENI WAFUTWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-hhe0Obb5yFQ/VN-IGijnaaI/AAAAAAAAoU4/LlkHZF-W1u4/s1600/kikwete%2B(9).jpg)
11 years ago
Habarileo02 Jan
Dar ya kwanza kitaifa matokeo darasa la 7
MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na kumi bora kwa upande wa wasichana wakitoka Shule ya Tusiime ya jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Dewji Blog02 Nov
Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y2RDaDVFLGw/VjZDdmWRWDI/AAAAAAAAHfQ/w9W2x3lRif0/s640/GREEN%2BHILL%2BPIC%2B1.jpg)
Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.
Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...
10 years ago
TZToday12 Nov
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-M4AZQ7Xoc-NgsyevB-d3LPwl8pAJIs3CISAYeLEbrG3CcrKhvs1ga76cgjM2gXtAEYzgGhXNc3NUkcKosUtTbcKEnsp24e1/nectalogo.png)
ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA