Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar ya kwanza kitaifa matokeo darasa la 7

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na kumi bora kwa upande wa wasichana wakitoka Shule ya Tusiime ya jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...

 

10 years ago

GPL

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chini ARUSHA DAR ES SALAAM…

 

11 years ago

Habarileo

Darasa la 7 kufanya tena Matokeo Makubwa Sasa

WANAFUNZI wa Darasa la Saba waliofanya mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) wakiwa darasa la sita, watafanya mtihani mwingine wa aina hiyo kabla ya kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu kwa lengo la kuongeza ufaulu.

 

11 years ago

Mwananchi

Zimepotea wapi hamasa za matokeo ya darasa la saba?

Kuna njia nyingi za mtu kujielimisha. Kwa mfano, wapo wanaopata maarifa baada ya kufanya makosa fulani.

 

10 years ago

Mtanzania

Kanda ya Ziwa yang’ara matokeo darasa la saba

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

Esther Mbussi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

SHULE za msingi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeongoza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 kwa kushika namba moja hadi saba kati ya shule 10 bora kitaifa.

Aidha, watahiniwa wamefaulu zaidi somo la Kiswahili na kufeli zaidi somo la Hisabati.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (NACTE), wavulana wameongoza somo la Hisabati kwa kupata alama 50/50, ambapo 26 wamefaulu kwa kiwango hicho na...

 

11 years ago

Mwananchi

Uandikishaji Darasa la Kwanza utata mtupu

Msimu wa uandikishaji watoto wanaoanza darasa la kwanza, umeanza, huku kukiwa na malalamiko lukuki hasa kutokana na michango inayotozwa kwa watoto wanaokwenda kuanza darasa la kwanza.

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla afurahishwa na matokeo mazuri ya darasa la saba wilayani Hai

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, akiwa ameshika glasi ya kinywaji kwa ajili ya kufurahia kwa pamoja kwenye hafla ya kuwapongeza walimu wa wilaya ya Hai mkoani humo baada ya kupata matokeo mazuri katika ufaulu wa darasa la saba mwaka huu. Hai imeshika nafasi ya kwanza kiwilaya mkoani humo na nafasi ya nne kitaifa.
Na Mwandishi Wetu, Hai

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amehudhuria halfa ya kuwapongeza walimu wilayani Hai, mkoani humo, kwa kufanikisha ufaulu mzuri wa darasa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani