Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kanda ya Ziwa yang’ara matokeo darasa la saba

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

Esther Mbussi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

SHULE za msingi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeongoza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 kwa kushika namba moja hadi saba kati ya shule 10 bora kitaifa.

Aidha, watahiniwa wamefaulu zaidi somo la Kiswahili na kufeli zaidi somo la Hisabati.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (NACTE), wavulana wameongoza somo la Hisabati kwa kupata alama 50/50, ambapo 26 wamefaulu kwa kiwango hicho na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kanda ya Ziwa yazidi kutesa darasa la saba

Shule za msingi za mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeendelea kutamba kwenye matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), huku Shule ya Hazina ya jijini Dar es Salaam ikitoa wanafunzi wawili walioshika nafasi mbili za kwanza.

 

9 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba

UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.

 

9 years ago

Mwananchi

Pongezi Kanda ya Ziwa kufanya vizuri darasa la saba

Jana Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2015.

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA SABA SABA

Mjiolojia Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Mwara Shoo akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini kwenye maonesho ya kimataifa ya Saba Saba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Afisa Utaalam Elekezi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda hilo.Wataalam kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi...

 

11 years ago

Michuzi

PPF KANDA YA KINONDONI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa PPF katika viwanja vya Tangamano. Mfuko wa Pensheni wa PPF unawakaribisha Wanachama na Wadau wote kutembelea katika banda lao ili kupata elimu kuhusu mafao na huduma mbali mbali zitolewazo na PPF. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda akisikiliza kwa makini maelezo ya Mfuko wa...

 

11 years ago

Michuzi

PPF KANDA YA KINONDONI YANG'ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni inayojumuisha wilaya ya Kinondoni, mkoa wa Pwani (Wilaya ya Kibaha na Bagamoyo) na mkoa wa Tanga Bi Zahra Kayugwa  akiwa katika picha ya pamoja na  Maafisa wa PPF katika viwanja vya Tangamano. Mfuko wa Pensheni wa PPF unawakaribisha Wanachama na Wadau wote kutembelea katika banda lao ili kupata elimu kuhusu mafao na huduma mbali mbali zitolewazo na PPF. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda akisikiliza kwa makini maelezo ya Mfuko wa...

 

9 years ago

GPL

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chini ARUSHA DAR ES SALAAM…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani