Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA YA KUANZA KWA MITIHANI YA DARASA LA SABA NA KIDATOA CHA NNE

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watahiniwa darasa la saba zaidi ya 700,000 kuanza mitihani kesho

Wanafunzi 775,729 walioandikishwa kufanya mtihani wa darasa la saba nchini, kesho wanaanza kufanya mtihani huo, huku idadi ya watahiniwa ikipungua ukilinganisha na walioandikishwa mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Watahiniwa kidato cha nne kuanza mitihani rasmi

  Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne katika shule mbalimbali nchini, wanaanza mtihani wa kuhitimu utakaokamilika baada ya siku 20 huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA SHULE YA SEKONDARI MWILAMVYA KASULU KIGOMA

Na Editha Karlo wa Blog ya jamiiWIZARA ya Elimu na mafunzo ya ufundi imepigilia msumari wa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari na shule za msingi za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yeyote atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...

 

9 years ago

Mtanzania

Mitihani darasa la saba yaanza leo

mtihaniNA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

BARAZA la Taifa la Mitihani   (NECTA) limesema watahiniwa 775,729 wakiwamo wasichana 414,227 na wavulana 361,502, wanatarajiwa   kufanya mitihani ya taifa ya kuhitimu darasa la saba leo katika shule 16,096 za Tanzania bara.

Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde  alisema jana kuwa mitihani hiyo itafanyika kwa siku mbili  (leo na kesho) na itahusisha masomo matano ya Kiswahili, Kiingereza, Hisabati, Sayansi na Maarifa ya Jamii.

“Maandalizi yote ya mitihani...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo


NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

10 years ago

Habarileo

Darasa la saba kuanza mtihani wa mwisho Jumatano

WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.

 

10 years ago

Habarileo

'Kidato cha nne msiibe mitihani'

WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wanaotarajiwa kufanya mtihani wa taifa wameonywa kujiepusha na vishawishi vya kushiriki kwenye wizi wa mitihani na udanganyifu mwingine utakaowaondolea sifa ya kuendelea kufanya mitihani yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani