Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA SHULE YA SEKONDARI MWILAMVYA KASULU KIGOMA

Na Editha Karlo wa Blog ya jamiiWIZARA ya Elimu na mafunzo ya ufundi imepigilia msumari wa kuendelea kuwazuia wanafunzi wa shule za sekondari na shule za msingi za bweni na kutwa kumiliki simu za mkononi wakiwa shuleni na yeyote atakayekamatwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Jenista Muhaga wakati wa mahafali ya kidato cha nne na darasa la saba wa shule ya sekondari ya Mwilayamvya medium iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI EDEN GARDEN EDUCATION TRUST

Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust ya Mkoani Kilimanjaro wanaotarajia kufanya mitihani yao ya mwisho siku chache zijazo wakiingia ukumbini kwa ajili ya sherehe ya kuwaaga iliyofanyika shuleni hapo,Mbele ni mkuu wa Utawala shuleni hapo Peter Nayor .Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Eden Garden Education Trust wakiingia kwa madoido uwanjani.Baadhi ya wazazi wenye watoto wao katika shule ya sekondari Eden Garden Education Trust...

 

10 years ago

Michuzi

mahafali ya shule ya sekondari Twayyibat kidato cha nne yafanyika temeke jijini dar

  Sehemu ya meza kuu,kutoka kulia ni Imam Abbasi Maunda  (mdau), Bi Halima Mamuya (mdau), Balozi Amina Salum Ali (mgeni rasmi), Fatma Khalfan (Mwenyekiti wa bodi), Juma Omari (mkuu wa shule) wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mahafali hayo ya kidato cha nne,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,Temeke jijini Dar.Mkuu wa Shule ya sekondari Twayyibat,Juma Omari akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali,waliofika kwenye hafla hiyo ya mahafari iliyofanyika mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya Kidato cha nne shule ya sekondari WAMA-NAKAYAMA kufanyika jumapili hii

nyamisati10

TANGAZO- MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE WAMA NAKAYAMA2.pdf by moblog

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA NANE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA SEKONDARI REBU ILIYOPO TARIME YAFANA

Wahitimu wa Kidato cha Nne Rebu Sekondari 2015Wahitimu wa Kidato cha Nne Rebu Sekondari 2015.Mgeni Rasmi katika Mahafali ya nane ya Kidato cha nne katika shule ya Sekondari Rebu iliyopo Wilayani Tarime George Obuto ambae ni Afisa Elimu Sekondari katika Wilaya hiyo akizungumza katika Mahafali hayo.Mgeni Rasmi akikabidhi cheti kwa mhitimuMhitimu akipokea cheti. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI INAYOMILIKIWA NA JESHI LA MAGEREZA YAFANA MKOANI PWANI

Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mhitimu kwenye Mahafali ya Kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bwawani Oktoba 16, 2015(kulia kwa Mgeni rasmi) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja.Baadhi ya Wahitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bwawani inayomilikiwa na Jeshi la Magereza wakipiga makofi wakati wa hotuba ya Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI

Na Lucas Mboje, Dar es Salaam;

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(pichani) kesho Oktoba 16, 2015 anatarajia kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za Mahafali ya kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo Mkoa wa Pwani.

Kwa mujibu wa Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa leo Jijini Dar es Salaam na kusainiwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja inasema jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule hiyo wanatarajia...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA YAFANA.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza Mwl.Asensio Mathias (Mwenye Kinasa Sauti) akizungumza katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika shule hiyo yaliyofantika jana Octoba16,2015 katika Ukumbi wa Shule hiyo.Na:George Binagi-GB PazzoMgeni Rasmi katika Mahafali ya 14 ya kidato cha Nne Mkolani Sekondari ya Jijini Mwanza Ndg.Bituro Kazeri (Wa tatu kila upande) ambae ni Afisa Habari wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii TASAJA akijiandaa kuwakabidhi vyeti wahitimu wa shule hiyo...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA NNE KENYAMANYORI SEKONDARI MKOANI MARA YAFANA.

Afisa Elimu Sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara George Ogutu akizungumza katika Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Kenyamanyori iliyopo katika halmashauri hiyo.Ogutu alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ambayo yalifanyika jana Octoba 02,2015 katika Viunga vya Shule hiyo ambayo wakati inaanza kupokea wanafunzi wanaohitimu mwaka huu ilikuwa ni shule ya Kijiji cha Kenyamanyori na ilijengwa kwa nguvu za wakazi wa kijiji hicho ambao asilimia kubwa ni wakulima na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani