Hali ya Wanafunzi wa darasa la 7 wanaofanya mitihani yao ya mwisho
Ikiwa ni siku ya kwanza ya watahiniwa wa Darasa la Saba kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya msingi nchi nzima, baadhi ya Shule za msingi jijini Dar Es Salaam zimeoneka kuwa katika hali ya utulivu na amani .
Wanafunzi wameendelea na maandalizi ya mtihani huo, wengine wakiwa wamekaa katika makundi wakijadiliana namna walivyoanza mtihani wengi wao wakiwa na matarajio ya kufanza vyema katika mitihani hiyo.
StarTv imepita katika Shule ya Msingi Kinondoni iliyopo katika Manispaa ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
MOblog inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi leo
Habari watanzania wenzangu, kwa niaba ya MOdewjiblog Team napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi hivi leo.
Mola awape wepesi wa kuelewa vyema mitihani yao.
Elimu bora ndio msingi wa Taifa Letu!
Kila la kheri wanafunzi!
Mungu ibariki Tanzania na wabariki vijana wetu pia.
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Wanafunzi 808,111 wa darasa la saba kufanya mitihani leo
NA RACHEL KYALASERIKALI imewataka wakaguzi wa elimu katika ngazi zote nchini, kuhakikisha idadi ya wanafunzi 808,111 wanaopaswa kufanya mtihani wa darasa la saba inatimia.Aidha, imewataka wakaguzi hao kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi na walezi watakaowaelekeza wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani hiyo kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa sababu zisizo za msingi.Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama, alisema jana kuwa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xMJLEImKx4k/XlTuY5qYJjI/AAAAAAAEFvs/QfcYzL-cGLYYKlIDnmH25FVOpeOLLwpggCLcBGAsYHQ/s72-c/2ce1db18-0a21-4149-a7a7-c003444b8bbc.jpg)
ZOLA kuzawadia vifaa vya umeme wanafunzi wataofanya vizuri katika mitihani yao wilayani Kisarawe
Akitangaza ofa hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
9 years ago
Mtanzania09 Sep
Mitihani darasa la saba yaanza leo
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
BARAZA la Taifa la Mitihani (NECTA) limesema watahiniwa 775,729 wakiwamo wasichana 414,227 na wavulana 361,502, wanatarajiwa kufanya mitihani ya taifa ya kuhitimu darasa la saba leo katika shule 16,096 za Tanzania bara.
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde alisema jana kuwa mitihani hiyo itafanyika kwa siku mbili (leo na kesho) na itahusisha masomo matano ya Kiswahili, Kiingereza, Hisabati, Sayansi na Maarifa ya Jamii.
“Maandalizi yote ya mitihani...
9 years ago
GPL16 Nov
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Watahiniwa darasa la saba zaidi ya 700,000 kuanza mitihani kesho
9 years ago
Press14 Nov
TAASISI ZA ELIMU ZAHIMIZWA KUWATHAMINI WAHITIMU WANAOFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO.
Mwanafunzi wa mwaka 3 wa Chuo cha CBE Bw.Wilson Magembe anayesomea Utawala wa BIashara akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la Maonesho la Utawala wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Prof.Emanuel Mjema (kulia)wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo na Zawadi mbalimbali kwa wahitimu wa chuo hicho mwaka 2015.
Picha na 2. Bw. James Mkuwa – Muhadhiri Msaidizi Idara ya uongozi wa Biashara CBE akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali kuhusu elimu ya Biashara wanayoitoa...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Taasisi za Elimu zahimizwa kuwathamini wahitimu wanaofanya vizuri katika masomo yao!
Mwanafunzi wa mwaka 3 wa Chuo cha CBE Bw. Wilson Magembe anayesomea Utawala wa BIashara akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la Maonesho la Utawala wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema (kulia)wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo na Zawadi mbalimbali kwa wahitimu wa chuo hicho mwaka 2015.