Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi za Elimu zahimizwa kuwathamini wahitimu wanaofanya vizuri katika masomo yao!

imageMwanafunzi wa mwaka 3 wa Chuo cha CBE  Bw. Wilson Magembe anayesomea Utawala wa BIashara akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la Maonesho la Utawala wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Prof. Emanuel Mjema (kulia)wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo na Zawadi mbalimbali kwa wahitimu wa chuo hicho mwaka 2015.

Na. Aron Msigwa – MAELEZO. [DAR ES SALAAM] Taasisi za elimu kote nchini zimeaswa kujenga utamaduni wa kuthamini na kutambua mchango wa wahitimu wanaofanya vizuri katika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Press

TAASISI ZA ELIMU ZAHIMIZWA KUWATHAMINI WAHITIMU WANAOFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO.

 

image (1)

Mwanafunzi wa mwaka 3 wa Chuo cha CBE  Bw.Wilson Magembe anayesomea Utawala wa BIashara akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la Maonesho la Utawala wakiongozwa na Mkuu wa Chuo hicho Prof.Emanuel Mjema (kulia)wakati wa hafla ya Utoaji wa Tuzo na Zawadi mbalimbali kwa wahitimu wa chuo hicho mwaka 2015.

image

Picha na 2. Bw. James Mkuwa – Muhadhiri Msaidizi Idara ya uongozi wa Biashara CBE akitoa ufafanuzi kwa wageni mbalimbali kuhusu elimu ya Biashara wanayoitoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahitimu 130 wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), watunukiwa tuzo kwa kufanya vizuri kwenye masomo

 Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora  iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

MOblog inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi leo

MITIHANI YA DARASA LA SABA MORO 3

Habari watanzania wenzangu, kwa niaba ya MOdewjiblog Team napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi hivi leo.

Mola awape wepesi wa kuelewa vyema mitihani yao.

Elimu bora ndio msingi wa Taifa Letu!

Kila la kheri wanafunzi!

Mungu ibariki Tanzania na wabariki vijana wetu pia.

 

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MAKAMBAKO KUTOA MOTISHA KWA WALIMU WATAKAOFAULISHA WANAFUNZI KATIKA MASOMO YAO

Na Shukrani Kawogo, Njombe.

Mkurugezi wa halmashauri ya mji Makambako mkoani Njombe, Paulo Malala ametoa motisha kwa walimu watakaoweza kufaulisha wanafunzi katika masomo yao kwa kupata alama A ambapo watapata posho ya shilingi elfu hamsini kwa kila mwanafunzi atakayepata alama hiyo katika somo lake.

Mkurugenzi aliyasema hayo Hayo katika kikao cha tathimini ya elimu ya halmashauri hiyo na kusema kuwa motisha hiyo ni chachu kwa walimu kwani itawapelekea kufanya juhudi katika kufundisha ili...

 

5 years ago

Michuzi

ZOLA kuzawadia vifaa vya umeme wanafunzi wataofanya vizuri katika mitihani yao wilayani Kisarawe

Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme wa jua ya ZOLA Electric Tanzania, ambayo zamani ilijulikana kama Mpower, imeeleza dhamira yake ya kusaidia jamii na kuunga mkono jitihada za serikali kuboresha sekta ya elimu ambapo imetangaza kuwazawadia vifaa vya nishati ya umeme wa jua wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri kwenye mtihani wa Taifa katika wilaya ya Kisarawe mwaka huu kupitia kampeni yake inayoendelea inayojulikana kama ‘Bukua na Ushinde’.
Akitangaza ofa hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa...

 

10 years ago

Bongo5

Herieth Paul (Tanzania) aongoza orodha ya models 10 wa Afrika wanaofanya vizuri duniani

Mrembo wa Tanzania mwenye makazi yake jijini New York, Marekani, Herieth Paul ameongoza orodha ya models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi kimataifa. Orodha hiyo imetolewa na mtandao wa Africa News. Mfahamu zaidi Herieth kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye mwishoni mwa mwaka jana. Warembo wengine waliopo kwenye orodha hiyo kuanzia namba mbili ni: 2.Maria Borges […]

 

9 years ago

Michuzi

TASWA KUTOA TUZO KWA RAIS KIKWETE PAMOJA NA WANAMICHEZO WANAOFANYA VIZURI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kitatoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na wanamichezo 10 waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 akiwa Rais wa Tanzania.Tukio hilo ambalo pia litahudhuriwa na Rais Kikwete, litafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam likiwa na lengo la wanamichezo kumuaga Rais Jakaya Kikwete.TASWA itakabidhi tuzo maalum kwa Rais ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa maendeleo ya michezo wakati...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA

1Kaimu Mkuu wa Chuo Mzumbe Prof. Josephat Itika akizungumza katika hafla ya kikundi cha wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 2Wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 wakimsikiliza Prof. Josephat Itika wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 4Wana kamati waliondaliwa kwaajili ya kufungua shampeni wakati wa hafla hiyo. 5Naibu ...

 

10 years ago

Vijimambo

Huyu ndio Mtanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 bora wa Afrika wanaofanya Vizuri zaidi Duniani.







Herieth paul ndio mwanamitindo kutoka Tanzania aliyeongoza orodha ya Models 10 kutoka Afrika wanaofanya vizuri zaidi duniani, Herieth anakaa jijini New York,Marekani kwasasa.Hawa ndio ma Models wanaofatia kwenye orodha hiyo2.Maria Borges- Angola3. Betty Adowele - (Nigeria,Uingereza)4. Ajak Deng - (Sudan Kusini)5. Roberta Analciso - (Angola)6. Malaika Firth - (Kenya)7. Liya Kebede- (Ethiopia)8. Candice swanepoel - (South Afrika)9.Fatma Said - (Somalia)10.Anais Mali -(Chad)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani