TASWA KUTOA TUZO KWA RAIS KIKWETE PAMOJA NA WANAMICHEZO WANAOFANYA VIZURI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kitatoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na wanamichezo 10 waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 akiwa Rais wa Tanzania.Tukio hilo ambalo pia litahudhuriwa na Rais Kikwete, litafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam likiwa na lengo la wanamichezo kumuaga Rais Jakaya Kikwete.TASWA itakabidhi tuzo maalum kwa Rais ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa maendeleo ya michezo wakati...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
KAMATI YA KUSIMAMIA TUZO ZA TASWA YATOA ORODHA YA WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO HIZO

Usiku wa Tuzo utafanyika Desemba 12 mwaka huu ukumbi wa Diamond, Jubilee (VIP), Dar es Salaam, ambapo wanamichezo mbalimbali waliofanya vizuri kati ya Juni 2013 hadi Juni 2014 watakabidhiwa tuzo zao.
Ni imani yetu kwamba zaidi ya wanamichezo 40 watakabidhiwa tuzo zao siku...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
IPTL yaimwagia TASWA milioni 20 kuandaa tuzo za wanamichezo
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Sigh Seth (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 20 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto (wapili kulia) ikiwa ni mchango wa IPTL kusaidia maandalizi ya Tuzo za wanamichezo bora nchini. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni ni Makamu Mweyekiti wa TASWA, Egbert Mkoko, Katibu Mkuu, Amir Mhando na Mwanasheria na...
11 years ago
Michuzi19 Mar
TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa kila mwaka na TASWA. Kikao kilijiridhisha kuwa tuzo za TASWA zina heshima kubwa na wanamichezo hapa nchini wanazithamini na kuzitegemea kuliko tuzo za aina nyingine zozote. Lakini kikao kilikubaliana kuwa pamoja na hayo bado kuna changamoto mbalimbali kuhusiana...
10 years ago
Vijimambo
TASWA YAPATA UDHAMINI WA MILIONI 50 TUZO ZA WANAMICHEZO TOKA TAASISI YA GSM

TAASISI ya GSM Foundation ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete. Utoaji wa tuzo hizo utafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo wanamichezo pia watatumia tuzo hizo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kumuaga Rais Kikwete anayemaliza muda wake kikatiba.
Kwa mujibu wa TASWA licha ya kumuaga Rais Kikwete...
10 years ago
Michuzi
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro yaipiga jeki taswa katika tuzo za Wanamichezo Bora

Tuzo hizo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA zinatarajiwa kufanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, ambapo pia TASWA itatoa Tuzo ya Heshima kwa Rais Kikwete ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa sekta ya michezo katika uongozi...
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Rais Kikwete uso kwa uso na Pinto Mwenyekiti wa Taswa
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi..PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG