Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA

Mwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jana  jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Apewa Tuzo Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas....

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora

>Rais Jakaya Kikwete ametunikiwa Tuzo ya Utawala Bora Afrika kwa mwaka 2015 kutokana na jitihada zake za kudumisha na kuimarisha utawala bora nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apewa Tuzo Ya Uongozi Bora nchini

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo jioni.
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na...

 

9 years ago

Michuzi

TASWA KUTOA TUZO KWA RAIS KIKWETE PAMOJA NA WANAMICHEZO WANAOFANYA VIZURI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARICHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kitatoa tuzo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na wanamichezo 10 waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 akiwa Rais wa Tanzania.Tukio hilo ambalo pia litahudhuriwa na Rais Kikwete, litafanyika Oktoba 8, mwaka huu ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam likiwa na lengo la wanamichezo kumuaga Rais Jakaya Kikwete.TASWA itakabidhi tuzo maalum kwa Rais ikiwa ni kuthamini mchango wake kwa maendeleo ya michezo wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Salma Kikwete apewa tuzo na Amref

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya Balozi wa Kampeni ya Simama kwa ajili ya Mwanamke wa Afrika “Stand for African Mother campaign” kutokana na kujitoa kwake kuwahamasisha wake wa marais wa Afrika kusimama na kupigania haki za mama na mtoto.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Kikwete apewa tuzo ya kimataifa ya mwaka 2015 ya Kiongozi bora Mwanamke

unnamed-51

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea TUZO maalum ya “ CWL International Women of Excellency Award for Leadership” kutoka kwa Profesa Joseph Adaikalam, Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Chuo Kukuu cha Binary kilichoko nchini Malaysia kwa kutambua na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya wanawake nchini Tanzania na Afrika tarehe 24.7.2015. Aliyesimama (kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Mlima, akifuatiwa na Profesa Bulochana Nair na Kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR. ALI MOHAMMED SHEIN MGENI RASMI TUZO ZA TASWA USIKU HUU

0001Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto.)003Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOAGWA NA TASWA MLIMANI CITY, DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiingia katika Ukumbi wa Mlimani City tayari kwa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) jana jijini Dar es Salaam.  Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (katikati) akiteta jambo na mwandishi mkongwe wa habari za michezo, Said Salum (kulia), kushoto ni Baruhan Muhuza wa Azam TV. Rais wa Shirikisho la Soka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein mgeni rasmi tuzo za TASWA usiku wa kuamkia leo

0001

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Ali Mohammed Shein akikabidhi tuzo ya heshima ya mwanamichezo bora wa mwaka kwa Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Usiku huu, Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo TASWA Bw. Juma Pinto.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani