Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete Apewa Tuzo Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA

Mwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jana  jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora

>Rais Jakaya Kikwete ametunikiwa Tuzo ya Utawala Bora Afrika kwa mwaka 2015 kutokana na jitihada zake za kudumisha na kuimarisha utawala bora nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apewa Tuzo Ya Uongozi Bora nchini

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo jioni.
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Salma Kikwete apewa tuzo na Amref

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya Balozi wa Kampeni ya Simama kwa ajili ya Mwanamke wa Afrika “Stand for African Mother campaign” kutokana na kujitoa kwake kuwahamasisha wake wa marais wa Afrika kusimama na kupigania haki za mama na mtoto.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Kikwete apewa tuzo ya kimataifa ya mwaka 2015 ya Kiongozi bora Mwanamke

unnamed-51

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea TUZO maalum ya “ CWL International Women of Excellency Award for Leadership” kutoka kwa Profesa Joseph Adaikalam, Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Chuo Kukuu cha Binary kilichoko nchini Malaysia kwa kutambua na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya wanawake nchini Tanzania na Afrika tarehe 24.7.2015. Aliyesimama (kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Mlima, akifuatiwa na Profesa Bulochana Nair na Kulia ni...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atunuku tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana ijumaa.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton jijini Dar

c1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam jana April 28, 2015. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini  kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiliwa na taasisi za Clinton Development Initiative (CDI) na Clinton Health Access Initiative (CHAI).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete jana, Jumanne, Aprili 28, 2015, amekutana na kufanya mazungumzo ya...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI PROFESA PETER MUTHARIKA JIJINI WASHINGTON DC, MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambapo wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani