Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete atunuku tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana ijumaa.(picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKABIDHI TUNZO YA RAIS YA MZALISHAJI BORA MWAKA 2014

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia maonesho mbalimbali kwenye Ghafla ya utoajio Tunzo ya Rais ya mzalishaji bora Mwaka 2014 wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Jumuiya ya wafanyabiashara (Cti). Ghafla hiyo imefanyika jana usiku Februari 14,2015 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wadau mbalimbali kwenye Ghafla ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo Za miaka 50 Ya Muungano

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50. Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora

 ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The Category of Good governance in Africa,” wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Dkt.Migiro alimwakilisha Rais Kikwete katika hafla ya kutunukiwa Tuzo hiyo huko Afrika ya Kusini hivi karibuni.
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora

>Rais Jakaya Kikwete ametunikiwa Tuzo ya Utawala Bora Afrika kwa mwaka 2015 kutokana na jitihada zake za kudumisha na kuimarisha utawala bora nchini.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea Tuzo ya Uongozi Bora nchini

mzee

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam

Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo ni Bodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU, Mamlaka ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apewa Tuzo Ya Uongozi Bora nchini

 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo jioni.
Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA AFRIKA MASHARIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za...

 

11 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA KIONGOZI BORA BARANI AFRIKA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Benard Membe (kulia) kufuatia mchango mkubwa alioutoa  kwa maendeleo ya wananchi wa Tanzania na Bara la Afrika.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani