Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo Za miaka 50 Ya Muungano
.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao 86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50.
Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ
11 years ago
Habarileo27 Apr
JK atunuku nishani, tuzo za Muungano
RAIS Jakaya Kikwete ametunuku nishani na kutoa tuzo za Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano kwa watu 8,6 wakiwemo viongozi walioingia madarakani kikatiba na wameendelea kuonesha maadili mema na kuwa mfano wa kuigwa kwa kipindi hicho kwa uaminifu.
11 years ago
Dewji Blog07 Sep
Rais atunuku Nishani za miaka 50 ya JWTZ
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani ...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU DAR
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI MAOFISA 30 WA MAJESHI
10 years ago
VijimamboRais Kikwete atunuku Nishani Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


10 years ago
Habarileo24 Jun
Kikwete atunuku Nishani 28
RAIS Jakaya Kikwete amewatunukia Nishani Watumishi wa Umma 28 kutokana na utumishi wa muda mrefu na ushupavu.
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete atunuku tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora
