RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha. Amiri Jeshi Mkuu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog07 Sep
Rais atunuku Nishani za miaka 50 ya JWTZ
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani ...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete atunuku Nishani na Tuzo Za miaka 50 Ya Muungano
.jpg)
.jpg)
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHAJI ZA MIAKA 50 YA JWTZ
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU DAR
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU NISHANI MAOFISA 30 WA MAJESHI
10 years ago
VijimamboRais Kikwete atunuku Nishani Watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


10 years ago
Habarileo24 Jun
Kikwete atunuku Nishani 28
RAIS Jakaya Kikwete amewatunukia Nishani Watumishi wa Umma 28 kutokana na utumishi wa muda mrefu na ushupavu.
10 years ago
Habarileo02 Sep
Kikwete atunuku nishani maofisa 30 wa majeshi
RAIS Jakaya Kikwete amewatunuku nishani za utumishi uliotukuka, utumishi mrefu na tabia njema maofisa wa majeshi mbalimbali 30. Kati ya maofisa hao, 10 ni kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), 10 kutoka Jeshi la Polisi na 10 wengine wanatoka Jeshi la Magereza.