Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WANAOMALIZA DARASA LA SABA TUWATUNZE KIMAADILI WAKISUBIRI MATOKEO

LEO watoto wetu wapatao 808,111 wanamaliza elimu yao ya msngi ya Darasa la Saba nchini kote.
Hii ni idadi tu ya wale ambao wamejisajili kufanya mitihani hiyo kwa mawa huu na Baraza la Mitihani kuwatambua katika takwimu zao hapa nchini kwa mwaka huu wa 2014 lakini huenda vijana waliostahili kumaliza elimu hiyo ingekuwa kubwa zaidi ukilinganisha na wale waliojindikisha darasa la kwanza 2007.
Nimesema watoto wetu wanamaliza kwakua tu na mimi katika hao 808,111 bimnti yangu ni mmoja wapo wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

9 years ago

GPL

ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA

Kuangalia matokeo bonyeza mkoa hapa chini ARUSHA DAR ES SALAAM…

 

11 years ago

Mwananchi

Zimepotea wapi hamasa za matokeo ya darasa la saba?

Kuna njia nyingi za mtu kujielimisha. Kwa mfano, wapo wanaopata maarifa baada ya kufanya makosa fulani.

 

9 years ago

Michuzi

Matokeo ya mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015

Baraza la Mitihani Tanzania - NECTA limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba iliyofanyika September 9 na 10 mwaka huu ambapo mikoa ya kanda ya ziwa imefanya vizuri ikilinganishwa na mikoa mingine nchini. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk. Charles Msonde amesema jijini Dar es salaam kuwa  jumla ya watahiniwa 51,8034 kati ya 76,3602 wamefaulu sawa na asilimia 67.84, ambapo kati yao wasichana wamefaulu kwa asilimia 64.60 na wavulana asilimia 71.58 huku kiwango hicho cha kikiongezeka...

 

10 years ago

Mtanzania

Kanda ya Ziwa yang’ara matokeo darasa la saba

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

Esther Mbussi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam

SHULE za msingi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeongoza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 kwa kushika namba moja hadi saba kati ya shule 10 bora kitaifa.

Aidha, watahiniwa wamefaulu zaidi somo la Kiswahili na kufeli zaidi somo la Hisabati.

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (NACTE), wavulana wameongoza somo la Hisabati kwa kupata alama 50/50, ambapo 26 wamefaulu kwa kiwango hicho na...

 

9 years ago

Mwananchi

Kila la heri wanafunzi darasa la saba

Wanafunzi wa darasa la saba nchini, leo wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, huku wakiwa na shauku kubwa kufanya mtihani huo kwa kutumia mfumo mpya wa ufanyaji na usahihishaji wa mitihani ambao ulianza kutumika nchini miaka mitatu iliyopita.

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla afurahishwa na matokeo mazuri ya darasa la saba wilayani Hai

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, akiwa ameshika glasi ya kinywaji kwa ajili ya kufurahia kwa pamoja kwenye hafla ya kuwapongeza walimu wa wilaya ya Hai mkoani humo baada ya kupata matokeo mazuri katika ufaulu wa darasa la saba mwaka huu. Hai imeshika nafasi ya kwanza kiwilaya mkoani humo na nafasi ya nne kitaifa.
Na Mwandishi Wetu, Hai

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amehudhuria halfa ya kuwapongeza walimu wilayani Hai, mkoani humo, kwa kufanikisha ufaulu mzuri wa darasa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani