Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandosya akusanya wadhamini chini ya mti

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark MwandosyaMGOMBEA anayewania kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama kwenye uchaguzi mkuu ujao, Profesa Mark Mwandosya amewataka wadhamini wake kutosikitika pale wanaposikia akibezwa kwa sababu amedhaminiwa na wanaCCM 30 waliowekwa kwa mujibu wa taratibu za chama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wanafunzi wasomea chini ya mti

Wanafunzi wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa wamekaa chini na mwalimu wao pembeni kuonesha sehemu ambayo hutumika kama darasa wawapo masomoni.Tunduru

WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao.

Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi Tunduru wasomea chini ya Mti

WANAFUNZI wa darasa la awali shule ya Msingi Nakayaya wilayani hapa mkoani Ruvuma, wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum. Hali hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto aliyeibwa apatikana chini ya mti

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma,David Misime.Mtoto aliyeibwa akiwa na umri wa siku nane baada ya mama yake, Teddy Bishaliza (19), kunyweshwa juisi iliyosadikiwa kutiwa dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake eneo la Pembe ya Ng'ombe mtaa wa Chidachi, Manispaa ya Dodoma, amepatikana akiwa hai chini ya mti.

Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita na kupatikana Ijumaa ambayo gazeti hili liliandika habari za kuibwa kwake.

Baada ya taarifa za kupotea mtoto huyo wa kike ambaye hadi...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA CHEKECHEA TUNDURU WASOMEA CHINI YA MTI

Wanafunzi wakiendelea na masomo wakiwa na mwalimu wao. WANAFUNZI wa darasa la awali katika Shule ya Msingi Nakayaya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wanasomea chini ya mti kutokana na darasa hilo kuendeshwa bila ya kuwa na chumba maalum kwa ajili ya kusomea wanafunzi hao. Hali hiyo imebainika baada ya mwandishi wa habari hizi kuitembelea shule hiyo hivi karibuni na kuwakuta wanafunzi wakiwa wamekaa chini huku wakiendelea na...

 

10 years ago

Vijimambo

PROFESA MARK MWANDOSYA AENDELEA KUSAKA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Prof,Mark Mwandosya mara baada ya kufika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro wakati akiwa njiani kutafuta wadhamini.Prof,Mwandosya akiteta jambo na RC Gama mara baada ya kukutana.Prof,Mark Mwandosya akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ,Angela Kairuki walipokutana katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akimpatia kipaza sauti Prof...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya asaka na kupata wadhamini wa kutosha mkoani Iringa

 Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akiwa na mkewe Mama Lucy Mwandosya wakiwasili katika ofisi za CCM za Mkoa wa Iringa kusaka wadhamini  Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akilakiwa na maofisa wa chama katika ofisi za CCM za Mkoa wa Iringa kusaka wadhamini Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya akipungia mkono wasindikizaji wake katika...

 

10 years ago

Michuzi

Profesa Mark Mwandosya ashukuru wadhamini wake na wananchi wote

Profesa Mark Mwandosya na mkewe mama
 Lucy Mwandosya wakiwa mijini Dodoma leoKatika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). Majaribu hayo ni njia moja ambayo naamini Mwenyezi Mungu, muweza wa yote, humuimarisha mtu na huimarisha Taifa iwapo tunaweza kuyamudu. Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwa dhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge ataka kufahamu mafanikio ya ‘Kata Mti Panda Mti

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Ummy MwalimuTANGU kampeni ya upandaji miti ya ‘Kata Mti Panda Mti’ ianzishwe mwaka 1998, idadi ya miti 1,864,452,063 imepandwa kote nchini, Bunge limefahamishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani