Profesa Mark Mwandosya ashukuru wadhamini wake na wananchi wote

Profesa Mark Mwandosya na mkewe mama
Lucy Mwandosya wakiwa mijini Dodoma leoKatika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). Majaribu hayo ni njia moja ambayo naamini Mwenyezi Mungu, muweza wa yote, humuimarisha mtu na huimarisha Taifa iwapo tunaweza kuyamudu. Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwa dhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
PROFESA MARK MWANDOSYA AENDELEA KUSAKA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO.





10 years ago
MichuziPROFESA MARK MWANDOSYA ANENA
Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Profesa Mark Mwandosya ziarani Burundi
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
ziara ya kikazi ya profesa mark mwandosya zanzibar
.jpg)

9 years ago
Michuzi
Profesa Mark Mwandosya asherehekea kufikisha miaka 66 ya kuzaliwa kwake


10 years ago
Michuzi
Profesa Mark Mwandosya awa Mgeni Rasmi Siku ya Taifa ya Bima
10 years ago
Michuzi
Profesa Mwandosya asaka na kupata wadhamini wa kutosha mkoani Iringa



10 years ago
Vijimambo
PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

10 years ago
Mwananchi05 May
UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Mark Mwandosya: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais