UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Mark Mwandosya: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
Profesa Mark Mwandosya alizaliwa Desemba 28, 1949 mkoani Mbeya (atafikisha miaka 68 Desemba mwaka huu).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wCzqILwNUtk/VW4DurT5SeI/AAAAAAAHbfs/VH9Y34gr4qI/s72-c/Mwandosya-Mark.jpg)
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Profesa Mwandosya akosoa mfumo wa uchaguzi CCM
>Makada wa CCM wanaoendelea kusaka wadhamini mikoani wamekuwa wakitoa kauli tofauti, ikiwamo wito uliotolewa na Profesa Mark Mwandosya kuitaka CCM ibadili mfumo wake wa uchaguzi ili apatikane kwanza mwenyekiti wa chama hicho tawala, kabla ya mgombea urais.
10 years ago
MichuziPROFESA MARK MWANDOSYA ANENA
Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UbX--J9CwuM/U3vGNkwa6NI/AAAAAAAFj-g/rh5WGAbUAPU/s72-c/unnamed+(51).jpg)
Profesa Mark Mwandosya ziarani Burundi
![](http://3.bp.blogspot.com/-UbX--J9CwuM/U3vGNkwa6NI/AAAAAAAFj-g/rh5WGAbUAPU/s1600/unnamed+(51).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Y9h3Yu_JVxY/VSi7QmTZuwI/AAAAAAAHQL4/kEa4xX8Vj8Y/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
ziara ya kikazi ya profesa mark mwandosya zanzibar
Kwa mwaliko wa Waziri wa Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mheshimiwa Ramadhan Abdallah Shaaban, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Mark Mwandosya ametembeleaZanzibar kwa ziara ya kikazi. Pamoja na mambo mengine,Waziri Mwandosya amefungua rasmi Mradi wa maji wa Sebleni-Muungano-Sogea,SEMUSO.
Tanki la maji la Mradi wa Maji wa SEMUSO lililo Kibandamaiti,Zanzibai,Mradi uliozinduliwa na Waziri Mwandosya.
Waziri Mwandosya amepata nafasi ya kuhudhuria na...
![](http://3.bp.blogspot.com/-Y9h3Yu_JVxY/VSi7QmTZuwI/AAAAAAAHQL4/kEa4xX8Vj8Y/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-76P-jr7ougA/VSi6eHykacI/AAAAAAAHQLg/PMHD7im957E/s1600/unnamed.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ptdiWgFuK8g/VoFJWGsxuBI/AAAAAAAIPCE/y6_eVEkSP4w/s72-c/IMG-20151228-WA0001.jpg)
Profesa Mark Mwandosya asherehekea kufikisha miaka 66 ya kuzaliwa kwake
Leo tarehe 28 Desemba, Profesa Mark Mwandosya amesherehekea kufikisha miaka 66 tangu kuzaliwa. Amesherehekea sikukuu yake hiyo akiwa kijijini kwake Lufilyo, Busokelo Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Anamshukuru Mwenyezi Mungu na Watanzania wenzake kwa baraka anazoendelea kupata.
Profesa Mark Mwandosya akiwa akijiandaa kukata keki ya asili pamoja na maandazi wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 28 Desemba, akiwa pamoja na ndugu zake ambao walimtayarishia keki hiyo.
Profesa...
![](http://1.bp.blogspot.com/-ptdiWgFuK8g/VoFJWGsxuBI/AAAAAAAIPCE/y6_eVEkSP4w/s640/IMG-20151228-WA0001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QMYU62BnQ7k/VoFJWIK3Y_I/AAAAAAAIPCA/t73jCW9p-sQ/s640/IMG-20151228-WA0004.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-fS9908QiabM/VX6ue8qw82I/AAAAAAAAQ6U/wCYsefHmGlU/s72-c/E86A0409%2B%2528800x533%2529.jpg)
PROFESA MARK MWANDOSYA AENDELEA KUSAKA WADHAMINI MKOANI KILIMANJARO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-fS9908QiabM/VX6ue8qw82I/AAAAAAAAQ6U/wCYsefHmGlU/s640/E86A0409%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wgHzYBstIIU/VX6ue62p_5I/AAAAAAAAQ6Y/bj7YiR02jEk/s640/E86A0411%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nbLe3Wy6PuM/VX6uhrQtiSI/AAAAAAAAQ6s/_j3WIzT9Xgo/s640/E86A0412%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bZoWkxdNPlI/VX6uhxWed2I/AAAAAAAAQ64/hol77iHGF_E/s640/E86A0417%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DyZjD_Zcv78/VX6ujN7qWtI/AAAAAAAAQ7A/v7zDWnlwIGI/s640/E86A0419%2B%2528800x533%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-81wGVUdgEVk/VaKu3JAsXJI/AAAAAAAHpIE/kAgYG2fHIUM/s72-c/IMGL0062%2B%25281%2529.jpg)
Profesa Mark Mwandosya ashukuru wadhamini wake na wananchi wote
![](http://2.bp.blogspot.com/-81wGVUdgEVk/VaKu3JAsXJI/AAAAAAAHpIE/kAgYG2fHIUM/s640/IMGL0062%2B%25281%2529.jpg)
Lucy Mwandosya wakiwa mijini Dodoma leoKatika nyakati mbalimbali mataifa, na binadamu pia hupita katika vipindi vya majaribu (testing times). Majaribu hayo ni njia moja ambayo naamini Mwenyezi Mungu, muweza wa yote, humuimarisha mtu na huimarisha Taifa iwapo tunaweza kuyamudu. Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwa dhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5YxYZkzc0Wk/VgejgMpu4iI/AAAAAAAH7WU/EDFVYHS6-p0/s72-c/unnamed%2B%25284%2529.jpg)
Profesa Mark Mwandosya awa Mgeni Rasmi Siku ya Taifa ya Bima
Na Sultani Kipingo wa Globu ya JamiiWaziri wa Nchi(Kazi Maalum) Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya alikuwa Mgeni Rasmi katika kongamano lililoandaliwa kusherehekea Siku ya Taifa ya Bima, Ijumaa tarehe 25 Septemba 2015. Kongamano hilo liliandaliwa kwa ushirikiano kati ya Taasisi ya Bima Tanzania (Insurance Institute of Tanzania - IIT) na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania ( Tanzania Insurance Regulatory Authority-TIRA). Kongamano hilo liliwakutanisha wadau wa sekta ya bima kutoka ndani...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania