Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Mwandosya akosoa mfumo wa uchaguzi CCM

>Makada wa CCM wanaoendelea kusaka wadhamini mikoani wamekuwa wakitoa kauli tofauti, ikiwamo wito uliotolewa na Profesa Mark Mwandosya kuitaka CCM ibadili mfumo wake wa uchaguzi ili apatikane kwanza mwenyekiti wa chama hicho tawala, kabla ya mgombea urais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Mark Mwandosya: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais

Profesa Mark Mwandosya alizaliwa Desemba 28, 1949 mkoani Mbeya (atafikisha miaka 68 Desemba mwaka huu).

 

11 years ago

Mwananchi

Chama akosoa mfumo wa Stars

Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars, Rashid Chama amesema kwamba tatizo kuu linaloikabili timu ya taifa ya Tanzania ni kukosa mfumo mzuri wa kuwaandaa wachezaji.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Sospeter Muhongo, Mbunge wa Kuteuliwa

>Profesa Sospeter Muhongo alizaliwa katika Wilaya ya Musoma Mjini, mkoani Mara Juni 25, 1954 (atatimiza miaka 61 Juni mwaka huu). Alianza shule ya msingi mkoani Mara na kuendelea na masomo ya sekondari (kidato cha I – VI) katika shule mbalimbali hapa nchini.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Profesa Mwandosya alonga


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
ALIYEKUWA mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Profesa Mark Mwandosya, amesema suala la wabunge kuwajibishwa na wananchi, halipo katika katiba ya nchi yoyote duniani.
Imeelezwa wajumbe wa Bunge hilo waliangalia na kuzipitia katiba nyingi, lakini hawakuona hata moja  iliyowapa uwezo wananchi kumwajibisha mbunge.
Profesa Mwandosya aliyasema hayo, alipokuwa akijibu swali aliloulizwa kwanini katiba iliyopendekezwa haikuweka kifungu hicho kama wananchi walivyopendekeza...

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya ziarani Burundi

Akiwa ziarani Burundi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya  (wa tatu kulia) ,amepata nafasi ya kutembelea Bandari ya Uvira,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Amepewa maelezo  na Bwana Pierre Kalala Shabani,wa pili kulia. kuhusu shughuli za bandari hiyo ambayo ni ya pili kwa ukubwa baada ya Matadi.Wengine ni viongozi wa idara za bandari ya Uvira.Wamelalamika kudorora kwa shughuli za bandari kutokana na kupungua kwa ufanisi wa Reli ya Kati Tanzania.  Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

PROFESA MARK MWANDOSYA ANENA

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. 

Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

10 years ago

Vijimambo

PROFESA MWANDOSYA ANENA YA MOYONI

Na Profesa Mark MwandosyaLeo ni siku inayofuatia jana, siku ambayo Ndugu yangu Edward Ngoyai Lowassa aliacha rasmi uanachama wa CCM na kupewa kadi ya uanachama wa Chadema. Si yeye tu bali alisindikizwa na mke wake mpendwa Mama Regina Lowassa. Nilidhani leo mitandao yote ingesheni habari hiyo kubwa. Kumbe nami nimekuwa "staa" katika mitandao ya kijamii. Kuanzia asubuhi nimekuwa nikipokea na kujibu simu mbalimbali nikiulizwa maoni yangu kuhusu tukio la jana, kuhusu mchakato wa Dodoma...

 

10 years ago

Mwananchi

Safari ya maisha ya Profesa Mwandosya

Wahenga walishasema maisha ni safari ndefu. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba viongozi wengi wanaolitumikia taifa hili katika nyadhifa kubwa na tofauti wamepita katika hatua nyingi za maisha tangu kuzaliwa kwao.

 

11 years ago

Michuzi

profesa mwandosya atembelea rwanda

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mhe.Prof.Mark J.Mwandosya akizungumza na Mawaziri wa Rwanda.Kutoka kulia ni waziri ofisi ya Rais Mhe.Venantie Tugireyezo, Waziri wa mambo ya nje Mhe.Louise Mushikiwabo pamoja na kaimu balozi wa Tanzania nchini Rwanda Bw. Francis Mwaipaja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani