Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto aliyezamia ndege apatikana bandarini

Sakata la mtoto Happy Rioba, limezidi kuchukua sura mpya baada ya mtoto huyo kukamatwa na polisi juzi bandarini jijini Dar es Salaam akiwa katika harakati za kupanda boti kuelekea Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia ndege atoweka tena

Mtoto Happiness Rioba(10) aliyedaiwa kuzamia kwenye ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar bila kugundulika, ametoweka tena nyumbani kwao baada ya kukutanishwa na mama yake mzazi Sara Zefhania.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia ndege Zanzibar utata mtupu

>Polisi Zanzibar wameanza uchunguzi kubaini mazingira ya safari tata ya mtoto Karine Godfrey aliyesafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa ndege bila tiketi wala kugundulika.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia katika ndege azidi kuzua utata

Sakata la mtoto aliyezamia ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar, Karine Godfrey (ambaye sasa imefahamika kwa jina la Happiness Rioba )limechukua sura mpya baada ya mama yake mzazi, Sara Zefhania kujitokeza na kusema kuwa mwanaye hakupanda ndege.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyeibwa apatikana

Mtoto Merryn Reppyson (4) aliyekuwa ameibwa nyumbani kwao Changanyikeni, Dar es Salaam na mtu aliyekuwa anataka alipwe Sh3 milioni ili amwachie, amepatikana juzi jioni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4

Mahakama nchini El Salvador imeamuru mtoto aliyebadilishwa punde baada ya kuzaliwa kukutanishwa na wazazi wake halisi miezi minne baadaye

 

9 years ago

Vijimambo

MTOTO ALIYEPOTEA NA HOUSE-GIRL APATIKANA

Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na dada yake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.Tunashukuru wote waliojumuika kuifariji familia kwa maneno ya kutia moyo, walioguswa na kuombea matumaini kwa sala, wote waliosambaza ujumbe kwa njia mbalimbali na zaidi sana, kwa watendaji wote wa mamlaka husika waliofanya kazi yao katika kufanikisha hili.Asanteni!​

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto aliyeibwa apatikana chini ya mti

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma,David Misime.Mtoto aliyeibwa akiwa na umri wa siku nane baada ya mama yake, Teddy Bishaliza (19), kunyweshwa juisi iliyosadikiwa kutiwa dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake eneo la Pembe ya Ng'ombe mtaa wa Chidachi, Manispaa ya Dodoma, amepatikana akiwa hai chini ya mti.

Mtoto huyo aliibwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita na kupatikana Ijumaa ambayo gazeti hili liliandika habari za kuibwa kwake.

Baada ya taarifa za kupotea mtoto huyo wa kike ambaye hadi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto mchanga apatikana katika hori la kanisa

Mtoto mchanga amepatikana ametelekezwa katika hori ndani ya kanisa moja mjini New York Marekani

 

11 years ago

Michuzi

UP DATES: Mtoto aliepotea,apatikana maeneo ya Msasani jijini dar

Napenda kuwajulisha kwamba mtoto Faith amepatikana maeneo ya Msasani na ameshaungana na familia. Aliokotwa na Msamaria mwema ambaye nae alikuwa anafanya juhudi za kuitafuta familia yetu.
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru sana sana kwa msaada wenu wa kurusha habari ile ya kupotea kwake. Lakini zaidi sana nawashukuru  jinsi mlivyotenda kwa haraka (act promptly) nilipotuma tu ujumbe.
Hii imeonyesha umuhimu wa mitandao hii na ni kweli ya wananchi na jamii. 
Asanteni sana na kila la heri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani