Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UP DATES: Mtoto aliepotea,apatikana maeneo ya Msasani jijini dar

Napenda kuwajulisha kwamba mtoto Faith amepatikana maeneo ya Msasani na ameshaungana na familia. Aliokotwa na Msamaria mwema ambaye nae alikuwa anafanya juhudi za kuitafuta familia yetu.
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru sana sana kwa msaada wenu wa kurusha habari ile ya kupotea kwake. Lakini zaidi sana nawashukuru  jinsi mlivyotenda kwa haraka (act promptly) nilipotuma tu ujumbe.
Hii imeonyesha umuhimu wa mitandao hii na ni kweli ya wananchi na jamii. 
Asanteni sana na kila la heri.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UP DATES: MSIBA WA BANZA STONE NYUMBANI KWAO SINZA JIJINI DAR

 Baadhi ya ndugu na jamaa wa Marehemu Ramadhan Massanja "Banza Stone" wakijadiliana jambo mchana huu, nyumbani kwao Sinza Lion, Jijini Dar es salaam.
Mawasiliano yakiendelea kupeana taarifa na ndugu wengine.

 

10 years ago

Michuzi

Miss Temeke 2014 apatikana usiku huu,TCC Club Chang'ombe jijini Dar

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic...

 

10 years ago

Vijimambo

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM

Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.  Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)  akifungua   Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali ambao walikunywa na kucheza mpaka majogoo.Hiyo ndiyo habari ya Mujini.

Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)huku meneja wake ni Nick...

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyeibwa apatikana

Mtoto Merryn Reppyson (4) aliyekuwa ameibwa nyumbani kwao Changanyikeni, Dar es Salaam na mtu aliyekuwa anataka alipwe Sh3 milioni ili amwachie, amepatikana juzi jioni.

 

9 years ago

GPL

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR



 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

 wananchi wakiangalia ajali...

 

11 years ago

Michuzi

kongamano la kimataifa la wanasayansi kujadili maeneo ya ardhioevu na yale lafunguliwa jijini Dar

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo, Utafiti na Ubadilishanaji Maarifa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Florence Luoga (aliyesimama) akiongea wakati wa kufungua kongamano la kimataifa la wanasayansi kujadili maneneo ya ardhioevu na yale ambayo mito inakutana na bahari lililofanyika jana Jumanne jijini Dar es Salaam. Wengine ni waratibu wa kongamano hilo, Mkurugenzi wa Taasisi ya Uthamini Raslimali (IRA) ya UDSM, Prof. Amos Majule (kushoto); Dk. Catherine Masao (wa pili kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani