Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UP DATES: MSIBA WA BANZA STONE NYUMBANI KWAO SINZA JIJINI DAR

 Baadhi ya ndugu na jamaa wa Marehemu Ramadhan Massanja "Banza Stone" wakijadiliana jambo mchana huu, nyumbani kwao Sinza Lion, Jijini Dar es salaam.
Mawasiliano yakiendelea kupeana taarifa na ndugu wengine.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja Banza Stone aliyezikwa jijini Dar es salaam

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wana familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji mama mzazi wa marehemu  katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015.   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na kiongozi wa bendi ya African Stars Twanga Pepeta Asha Baraka...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja Banza Stone aliyezikwa leo jijini Dar es salaam

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015. Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu,  amezikwa jioni hii katika makaburi ya Sinza. Marehemu Banza Stone atakumbukwa kwa umahiri wake wa utunzi na uimbaji alipokuwa na...

 

10 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AJIUNGA NA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MWANAMUZIKI RAMADHANI MASANJA BANZA STONE ALIYEZIKWA JANA JIJINI DAR ES SALAAM‏

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika  alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam jana Jumamosi Julai 18, 2015.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete…

 

10 years ago

GPL

BANZA STONE AZIKWA JIJINI DAR

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi  kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Gebbo Peter nyumbani kwake Vingunguti,jijini Dar

Msemaji wa familia ya Marehemu Gebo Peter, Peter Tino ambae pia ni kaka wa marehemu (wa kwanza aliesimama) akiwa pamoja na baadhi ya wachezaji wa zamani kulia kwake ni Aboubakar Kombo aliekaa kuanzia kulia ni Idi Pazi ambae ni kocha wa makipa wa Simba akifuatiwa na Khamis Kondo na David Mwakalebela wakiwa nyumbani kwa marehemu Vingunguti.(Picha na Evance Ng'ingo).

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya Msiba wa Mhe. Moshi Mussa Chang'a,nyumbani kwa marehemu Mbagala jijini Dar leo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa,Injinia Stella Manyanya akiwa ni mwenye majonzi wakati akisaini kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae alifariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari.  
Msiba upo nyumbani kwa Marehemu,eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam ambapo taratibu zote zinafanyika hapo.
Taarifa za awali zinaeleza kwamba Shughuli ya kuaga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani